AFANDE SIRO;PIKPIK ZA WIZI ZIKO GOBA KIBAO POLISI WANAJUA

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,580
NA NYINGI NDIZO WANAPIGIA MJINI WAMEZIPORA MIKOANI

NILIWAHI KWENDA SEHEMU NIMAONYESHWA JAMAA WANAPAKIA KWENYE LORI UKWELI ZIKO MPAKA KWENYE HIVI VITUO VYAO VYA PIKPIK ZIKICHOKA WANAZPIGA MKOAA

NENDA PIGA SACHI KAMANDA UTAZIKAMATA NYINGI INFACT WANAKAMATWA NA KUTOKA NA POLISI WANAJUAA ...PELEKA VIJANW WAKO. ZINGINE ZIÑA NAMBA ZA MABASII ACHA TU
 
Back
Top Bottom