Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,582
Mnatafuta wanaojiuza barabarani lakini mnakwenda kwenye lodge ya mtu kalipia vibali vyote na analipa kodi haipendezi..sio wote wana vyangudoa wengine wamekuja kibiashara.
Msipowajulishaa hili zoezi litakuwa gumu sana..huwezi ingia lodge unataka kufungua milango ya lodge kusearch vyangudoa wana alama gani !!
Waende njiani wawakamate huko sawa...tunaomba mtusaidie kwa hilo.