It is very natural kuangalia wanandoa kwa tabasamu. Msichongaishe kamanda. Makamanda hutabasamu, ila Mahakimus ni tofaut* Hata hao wa lupangos wanaonyesha kufurahia kitu
lazma wacheke kwa sababu huyo ni kama mteja wao wa kila siku washamzoea na kuzoeana sasa wanune nini. mafano We kilasiku unaenda bar wahudumu unafikiri watakununia?