Masanyiwa Mabula
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 954
- 983
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, bora nichague jiwe ambalo najua halitanifanyia kitu chochote ndani ya miaka mitano kuliko kumchagua mtu ambaye badala ya kufanya maendeleo analeta umasikini.
Mtu gani anasimamisha ajira, anawanyima watoto masikini mikopo ya elimu ya juu lakini wake alipewa, no increment, hakuna kupandishwa madaraja, kafuta posho, inafika mahala kiongozi Fulani anamdekisha mtu lakini yeye anafurahia na HELSB 15%. Huyu naye eti anajiita raisi wa wanyonge. Najiuliza sana kuhusu huyu mtu. Hivi anapata nguvu ngani ya kuimba hapa kazi tu?
Mbowe acha waseme kuhusu wewe lakini mimi nitakuwa na wewe daima, kura yangu utaipata miaka yote ya uchaguzi. Sijali amekuja nani, kaondoka nani. Kura yangu nitawapigia CHADEMA tu sababu najua ipo siku ukombozi wa kweli utakuja. Siwezi kuwapigia waleta umasikini.
MBOWE, LISSU, KIBATALA NA VIONGOZI WENGINE WA CHADEMA MUNGU AWATIE NGUVU KATIKA KUTAFUTA UKOMBOZI WA KWELI KATIKA NCHI YA TANZANIA. TUMEGEUKA WATUMWA KATIKA NCHI YETU. LINATOKEA LI MTU HUKO NA LINASEMA NAFUTA AJIRA, SIJUI SISI MASIKINI TUKALE WAPI POLISI?
YANAFURAHIA SANA KUONA WATANZANIA WANATESEKA
“Poleni sana viongozi wangu wa CHADEMA kwa wakati mnaopitia ila mkumbuke KUTAFUTA HAKI KWA WATU WAOVU LAZIMA MUUMIE. TUPO NANYI DAIMA”