Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mimi bado sina imani kabisa na ninyi watu wawili, na haitatokea siku nitawaamini japokuwa kwa hili mmenifurahisha kidogo.
Mimi nayajua malengo yenu.ZZK wewe nimeshakuzoea, mzee wa "NITOKE VIPI". Mara zote unayoyasema siyo yaliyo katika dhamira yako ya ndani, umejaa maigizo na sura ya kuomba huruma muda wote.
Lipumba wewe ni zilipendwa, huna mvuto tena ila umetumwa kimkakati kuondosha kakipande kadogo ka CUF kalikosalia bara.
Ila furaha yangu ni kwamba nilichoka kila wakati kusikia hadithi za sungura na fisi za " BABA MWENYE NYUMBA"
Mara leo kadanganya hiki,mara kesho yuko kanisani anasali,mara anaombewa, mara yuko mgahawani,mara leo kaamkia kulia kalalia kushoto, nilichoka hadi nilikuwa napata kizunguzungu.
Afadhali mmerudi na New Episode, tukichoka kuangalia maigizo ya BABA MWENYE NYUMBA" tunageukia kwenu.