Aendesha Ibada Akiwa na Silaha

Kichuya

Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
55
Reaction score
30
Hali ya hatari huko Nigeria kutokana na Boko Haram imemlazimu aendeshe ibada hivi

 
maandiko huwa yanasema vita vyetu ni vya kiroho sio vya damu na nyama. Huyu ni mjasiriamali sio pastor.
 
Duhh!!, kwa style hiyo sidhani kama kuna muumini hata mmoja atakaye baki kwenye benchi na kuacha kwenda kutoa sadaka.
 
Hiyo ni kawaida kwenye kambi za walinda amani UN peace keeping huwa kuna misikiti na makanisa na waongoza ibada huwa wao wenyewe
 
Wewe ndio upo kizani na unahitaji maombi ya kufunguliwa. Unafikiri kule bustanini kwanini Yesu alimkataza Simoni Petro kujihami au wafikiri hakuwa na uwezo huo?

kwahiyo akija Sharif akakuzabua kofi utamgeuzia shavu la pili akuzabue tena? ..sema kweli utaweza hivyo?
 
maandiko huwa yanasema vita vyetu ni vya kiroho sio vya damu na nyama. Huyu ni mjasiriamali sio pastor.

Maandiko hayo hayo yanasema Mwanadamu anaangamia kwa kukosa maarifa.!
 
Wewe ndio upo kizani na unahitaji maombi ya kufunguliwa. Unafikiri kule bustanini kwanini Yesu alimkataza Simoni Petro kujihami au wafikiri hakuwa na uwezo huo?
Wazungu na viarabu walituweza kweli. Hivi hiyo bustani uliiona hiyo bustani?
 
Yani hapo, anahubiri huku roho yake ikiwaza kuua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…