boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
Wastani aliopata ni civics D, History D, Geography D, English C, zilizobaki zote ni F
Je, huyu Veta atapokelewa akiapply course gani, kama anaweza soma course yoyote ni ipi nzuri kwa wakati wa sasa, au aende certificate zinazotolewa na vyuo vya biashara mjini?
Naomba kwa wazoefu wa veta mniambie nimsaidie huyu kijana, na Wadau wa elimu michango yenu inahitajika.