ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,629
Dah, yani hadi akupigie ndio unaweza kumpa ushauri?Nipigie kwa 0756936931 nikupatie ushauri bure wa kozi wa kozi ambayo asome
Weka ushauri hapaNipigie kwa 0756936931 nikupatie ushauri bure wa kozi wa kozi ambayo asome
Food science itamfaa, Afya asipoteze pesa za udahili.CBG afya hakuna TCU washaipiga pini.muda Tu ogopa matapeli...nenda sua pale piga kozi za kilimo na mifugo
Kama anataka afya option zilizobaki hapo niWakuu nina mdogo wangu kasoma CBG, na kwa sasa CBG ni kama wameitenga flani hivi kwenye masuala ya afya. Anapenda sana afya kwa yeye. Ningependa kupata muongozo kwenu, kwa matokeo haya hapa chini aende kozi gani?.
one ya 9.
Georg B
Chemistry D
Biology C
Bam S
Gs S
Acha utapeli..kama una ushauri leta humu utawasaidia wengi.Nipigie kwa 0756936931 nikupatie ushauri bure wa kozi wa kozi ambayo asome
Ajaribu bugando kipindi flan nlisikia wanapokea CBG kwa masomo ya afya.
Lakin pia anaweza kusoma Katibu wa Afya (Health Secretary) nadhan Mzumbe wanatoa au Environmental officers acheki vyuo kama Suza na vinginevyo,
sijajua upepo umekaaje kwa sasa kwa kozi hizo.
Ila mwisho kabisaa better Pia ualimu wa masomo ya sayansi nadhan akibobea Chem na Bios nadhan kuna soko hapa.
Nawasilisha!
Nipigie kwa 0756936931 nikupatie ushauri bure wa kozi wa kozi ambayo asome
CBG afya hakuna TCU washaipiga pini.muda Tu ogopa matapeli...nenda sua pale piga kozi za kilimo na mifugo
Food science itamfaa, Afya asipoteze pesa za udahili.
Shukran kwa muongozo mkuu.
Anataka kutongoza huyo naona....Dah, yani hadi akupigie ndio unaweza kumpa ushauri?
Nipigie kwa 0756936931 nikupatie ushauri bure wa kozi wa kozi ambayo asome
Department of ArchitectureWakuu nina mdogo wangu kasoma CBG, na kwa sasa CBG ni kama wameitenga flani hivi kwenye masuala ya afya. Anapenda sana afya kwa yeye. Ningependa kupata muongozo kwenu, kwa matokeo haya hapa chini aende kozi gani?.
one ya 9.
Georg B
Chemistry D
Biology C
Bam S
Gs S
Kozi nyingineWakuu nina mdogo wangu kasoma CBG, na kwa sasa CBG ni kama wameitenga flani hivi kwenye masuala ya afya. Anapenda sana afya kwa yeye. Ningependa kupata muongozo kwenu, kwa matokeo haya hapa chini aende kozi gani?.
one ya 9.
Georg B
Chemistry D
Biology C
Bam S
Gs S
Pharmacy anaweza akapata mara nying wanaangalia chemistry na biology ila ni kwa chuo kama kamapala university!!!Kama anataka afya option zilizobaki hapo ni
Humani nutrition na environmental health sciences.
Kwingine hatoboi mana hana physics.
#MaendeleoHayanaChama
Kwa nini usiweke hapa na wengine wafaidike? Mavi-Jana ya Tanzania mkoje lakini?Nipigie kwa 0756936931 nikupatie ushauri bure wa kozi wa kozi ambayo asome