Exactly..!! mara nyingi wagonjwa wa schzophrenia huwa mawazo ya ni tofauti kidogo ndio maana hushauriwa kutokaa peke yao wanaweza ku commit suicide namanisha kujinyonga hivo kuepuka hili kama psychatric nurse anapaswa kuwa very close na mgonjwa na moja ya tiba nyingne ni
⇨Ni kutoa group activities kwa mgonjwa to improve insight and interpersonal relationship
⇨Kumpa antipsychotic drugs kama Haloperidol,Chlorpromazine na nyinginezo
⇨Tiba nyingne ni ECT(Electro convulsive Therapy)