No wonder dini zina exist....huu ni ugonjwa wa akili,,,,,,
....dalili ni ni kusikia sauti moja au mbalimbali,kuamini vitu ambavyo havipo etc
.....wanasema huu ugonjwa una advantages to it,
.....ingekuwa hauna advantages ungeshakwisha siku nyingi,by natural selection....
...........embu tudiscuss hili..............
Mm niliumwa huo ugonjwa nimejifunza mengi sitaki unirudie.EE mungu nisaidie....huu ni ugonjwa wa akili,,,,,,
....dalili ni ni kusikia sauti moja au mbalimbali,kuamini vitu ambavyo havipo etc
.....wanasema huu ugonjwa una advantages to it,
.....ingekuwa hauna advantages ungeshakwisha siku nyingi,by natural selection....
...........embu tudiscuss hili..............
Rebeca ungefunguka kidogo zaidiwee nae ,elimu yako inamsaidia nani humu kama sio ndugu zako huko?
Rebeca ungefunguka kidogo zaidi
Unapenda sana lol...LOLMkuu nilikua nazungumzia ugonjwa wa akili unaoitwa schizophrenia,
inaaminika asilimia moja,ya watu duniani kote wanaupata ugonjwa huu,
sasa kuna much debate,wengine wanasema ni nature inaplay part kupata ugonjwa huu,na wengine ni environment ndiyo inasababisha,na wengine both,
natural selection,mkuu utakuwa ushasikia only the fittest survives,
nilikua nauliza kama kuna advantage za ugonjwa huu na kwa nini umesurvive vizazi hata vizazi,kote ulimwenguni??
nilitaka kuuliza swali,but i dont know how to put it lol
weekend hio,lol
HakikaNo wonder dini zina exist.
Nimetumia dawa za hospital chlorpromazineulipona vipi mkuu?
Hauna dawa za kuponyesha huu...uliponaje?Mm niliumwa huo ugonjwa nimejifunza mengi sitaki unirudie.EE mungu nisaidie.
U mcheshi sana? Lolsijui kwanini aisee,lol
Pia Na kubadilisha life style.mfano kutokaa pekeangupekeangu Na aina ya mavazi nnayovaaulipona vipi mkuu?
Mavazi yanafanyaje tena mkuu?!Pia Na kubadilisha life style.mfano kutokaa pekeangupekeangu Na aina ya mavazi nnayovaa
Labda.dawa hizo pia nimeambiwa nisiache ingawa dozi iko minimalwanasemaga hauwezi kupona ni unau control tu kwa dawa,au mwenzetu ulipata psychosis ya muda mfupi?