Advans bank!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Advans bank!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NasDaz, May 26, 2012.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Wakuu Salaam!!Je kuna yeyote anayeifahamu vizuri Advans Bank.....am talking about Career Development, Salary and Benefits na mambo mengine kama hayo?! Hawa jamaa naona wameanza kuzingua kabla ya muda coz' mie nili-apply for Branch Manager na wameniita kwa ajili ya post nyingine ambayo sina sifa nayo hata chembe!!! Mbaya zaidi, nimesafiri nje ya Dar wakati wao wamenitaka J3 for interview....so, ningependa kufahamu kama ni mbolea kuvunja safari na kuhudhuria huo usaili!!!
   
 2. maege

  maege JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  wamekuita kwa post gani?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Me naona wana tawi manzese,,,sijui lolote kuhusu wao,,,,,,
   
 4. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Marketing!!!
   
 5. maege

  maege JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  ni oral au written! Mi nakushauri uende wanalipa hadi 500elf. Tho kuna msela wangu aliwapigachini hakuajiriwa alikua kwenye programe ya intenship udbs.
   
 6. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Sina hakika kama ni oral au written.....vyovyote itakavyokuwa, poa 2!
   
 7. z

  zilipendwa New Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao advans ni wahuni. kuna ka-dada flani pale ni hr, simwelewi kabisa. mwaka jana nilifanya interview ya market assistant; tulikuwa watu 5. wanaume watatu na wanawake wawili kwa nafasi 2. tuliitwa interview watu nane tukaja watano. wale washkaj tukapeana no za cm, then wk inayofuata wakanipigia nije kwenye oral. nikawasiliana na washkaji wote wakawa wametoswa. nikaja kwenye oral. alikuwa huyo sister na mzungu flani. issue ilikuwa kawaida tu, ukizingatia nimefanya kazi benk moja hivi, pia nimesoma sana marketing of goods na ya service pia. mzungu akanikubali sana. nikaambiwa niandike salary. nikaandika then wakadai tutajulishana. ilikuwa dec mwanzoni, nikawapigia after 3wks, wakadai wazungu wako holiday ya xmass. then ikawa story mpaka feb. akadai hajapewa mandate ya kuajiri. Then juzi nikaona nafasi hiyohiyo inatangazwa, na nyingine za umeneja wa tawi nk. nikampigia akadai ataniweka kwenye shortlist eti anazo details zangu. nikaaply pia ya meneja wa tawi. nashangaa hawajaniita. Hao watu ni wahuni, manake wangekuwa "equal oppty employer" kama wanavyodai, wasingenitosa kwenye interview, au wangenichukua mimi na yule msichana. kuna mtu nilimuuliza akadai waliajiri hao wasichana na mmoja kaacha job ndo wanatangaza. so kwa kujaribu siyo mbaya, ila nimekataa tamaa nao, ukizingatia nilikuwa natoka dodoma kuja interview, tena zote mbili, huku nimejitoa mhanga job.
   
 8. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nenda kajifunza kazi acha ubrather men.
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwa swala la malipo sidhani kama wanalipa vizuri, ila kama huna experience ni sehemu nzuri ya kujifunzia ukizingatia kabenki kabodo kapya.
   
 10. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  mmmh hao jamaa sijui vizuri ila najua hawalipi kiivyo,me niliaply ila hawakuniita kabisa...so me nathani bora kama una issue inakuweka mjini bora uendelee nayo tu Mkuu
   
 11. maege

  maege JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  vp kaka interview ilikuwaje?
   
 12. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Nani alikuambia sijui kazi?!
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dah,,,nimehuzunika hapo uliposema ulikua unatoka dodoma,,,,,,pole sana mdau
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahaaaa......wadau waehusisha benk yenyewe
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Nina experience kubwa sana kwenye banking....especially when we talk about Banking Operations. Tatizo mie nimefanya sana operations na hata nafasi ambayo niliomba ni Operations lakini cha ajabu wakaniita Marketing Assistant, wakati hata elimu yangu si ya marketing......kazi ya kugangia njaa ninayo kwahiyo siwezi tena kuingia kwenye kazi ya kuganga njaa halafu within One Month nifikirie kuacha kazi.....sipendi kuwa too mobile!!
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Sikwenda kaka, nilichofanya ni kuwapigia simu mapema kwamba nisingeweza ku-attend interview. Kama wataniweka kwenye Blacklist, then sina namna ya kuwazuia.
   
 17. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  very sad indeed!
   
 18. Mbuty

  Mbuty JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Hao jamaa hata mimi niliomba post ya client assistant,nikafanyia interview hiyo ya written bt cku ya oral wananiambia eti niliomba human resource! Nikawaambia niliomba client assistant,interview ilikuwa ok sana,tulitumia sio chini ya dk 25 hv maana nimesomea banking&finance hivyo niliweza kutoa maelezo kutokana na maswali,pia kwa kiasi fulani lugha ya kingereza naiweza,but sikusikia tena toka kwao,nadhani kuna haya ya ma HR kutoa response kwa any outcome,yani hata kama mtu haujachaguliwa maana sijafahamu if i failed the interview au i was over qualified.
   
 19. z

  zilipendwa New Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx. ni kweli tena nilikuwa na miezi miwili tu kazini. sija-settle, sijajua hata ujanja wa kuomba ruksa. ila nilivyoona wametangaza na ukizingatia nimesomea finance na kazi ninayofanya haitumii sana knowledge ya finance, nikaona nijaribu. pia nirudi jijini ambapo nina network ya marafiki pia. juzi nimewapigia akanidanganya oooh tutakuita but ndo nasikia tena wameshafanya. kama huamini piga namba hii 0657567405 ujifanye unaulizia kuh interview, utasikia uongo wao. wana ahadi tamu sana
   
 20. W

  Wemah Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jamani advans bank acheneni nao maana ukienda wankupigisha training ya miezi mitatu na unalipwa 8000 kwa siku na kila mtu lazima upige prospection jua kali ni wanyonyaji sikushauri uende kama u r expecting something big then ukimaliza miezi mitatu wanakulipa 350000 niambie maisha ya mjini ulipwe 8000 kwa siku na public holiday wanakukata kama huendi
   
Loading...