Kwa wale waliofanya interview written cku ya j'moc then wakaitwa kwenye Oral j'4 k'koo jamaa wameanza kufanya placement tayar ktk nafac za Client officer na Cashier na leo saa nane wameitwa ofisin na barua za Serikali za mitaa... Kama hujaitwa POLE[/QUOTE]
Hongera sana kwa kupata kazi,lakini sijapendezwa kwenye red hapo.Inatakiwa kuwatia moyo watu na sio kuwaambia eti pole.Maana hata wewe yumukini hiyo kazi umeipata baada ya kupiga interview zaidi ya 15
Kwa wale waliofanya
interview written cku ya j'moc then wakaitwa kwenye Oral j'4 k'koo jamaa
wameanza kufanya placement tayar ktk nafac za Client officer na Cashier
na leo saa nane wameitwa ofisin na barua za Serikali za mitaa... Kama
hujaitwa POLE
Unafurahi hadi unaleta dharau kwa waliokosa.hiyo bank huijui,nakupa miezi mi3 utaona bora kuwa jobles.
samahan naomba nikuulize. Hao walioitwa wanaenda kufanyia ile branch ya k.koo au watagawanyishwa na branch zingine???? Naomba unisaidie kunipa jibu tafadhari.
nimetoa taarifa tu kwa waliofanya interview na sijawahi hata kuomba kazi hiyo Bank.. Kama nimekosea sorry lkn lengo ni kuwapa pole waliokosa then songa mbele..!! Mwasheli na dogo janja someni vizuri co mnakurupuka tu alaaaaaaaa.....!!
Ahsante!Kwa wale waliofanya interview written cku ya j'moc then wakaitwa kwenye Oral j'4 k'koo jamaa wameanza kufanya placement tayar ktk nafac za Client officer na Cashier na leo saa nane wameitwa ofisin na barua za Serikali za mitaa... Kama hujaitwa POLE
mimi hawajaniita wala nn
Inaelekea u like this bank aisee...usikate tamaa kama hujaitwa inawezekana kuna sehem nzuri zaidi iko kwa ajili yako..
nimetoa taarifa tu kwa waliofanya interview na sijawahi hata kuomba kazi hiyo Bank.. Kama nimekosea sorry lkn lengo ni kuwapa pole waliokosa then songa mbele..!! Mwasheli na dogo janja someni vizuri co mnakurupuka tu alaaaaaaaa.....!!