Ndugu "nra2303" kozi content yetu ina kurasa 10 zilizoshiba,ndo maana tukasema kama waitaji kuiona tutumie Direct Message email yako nasi tutakujibu haraka iwezekanavyo au waweza pitia ofisini tukakupatia.swali la msingi sana hili,jamaa kakimbia
Is it Excel adn or?Ndugu "nra2303" kozi content yetu ina kurasa 10 zilizoshiba,ndo maana tukasema kama waitaji kuiona tutumie Direct Message email yako nasi tutakujibu haraka iwezekanavyo au waweza pitia ofisini tukakupatia.
Kama una chochote ;
wasiliana nasi au fika ofisini kwetu makumbusho Business Complex,2nd Floor;
Simu: 0717 718 519 / 0762 192 532
email: training@comskills.co.tz
Web: www.comskills.co.tz
Karibuni sana.
Add-in for Microsoft ExcelHello, "DBA" adn means what? write it in full, so as we can provide the answer needed.
or you can make a call / write an email to us.
Thanks & karibu
No we train using application software (EXCEL) not add in . but using Excel add in is very simple in all process of manipulation,analysis as well as reporting issues in data. So if you join a course, then we can make an offer for it.Add-in for Microsoft Excel
Ndugu "chiba89", hapana Mbeya hatuna tawi huko,kwa sasa tupo Dar pekee. Panapo majaliwa tutafanya hii training mwezi wa nne (4) mwakani (2017) huko mbeya. Au kama una uhitaji wa haraka wa hii kozi wasiliana nasi tuone tunafanyaje.Vipi Mbeya mnapatiakana?
Nimechukua namba ntawatafutaNdugu "chiba89", hapana Mbeya hatuna tawi huko,kwa sasa tupo Dar pekee. Panapo majaliwa tutafanya hii training mwezi wa nne (4) mwakani (2017) huko mbeya. Au kama una uhitaji wa haraka wa hii kozi wasiliana nasi tuone tunafanyaje.
Tupigie: 0717 718519
Tuandikie:training@comskills.co.tz
tembelea:www.comskills.co.tz
Fika ofisi zetu zipo Makumbusho Business Complex, 2nd Floor,
Karibu sana.
Asante sana ndugu "bruno twemanye", sasa hapa kuna mambo mawili;Nipo offcn ila computer mambo mengi sjui naomba nafasi,, nina mdogo wangu napenda awe na ujuz wa kutengeneza computer na vifaaa vyake,, wapi ntapata chuo hicho chenye usajiri
asante.View attachment 430859 Usajili kwa hii kozi umeanza na unaendelea, wasiliana nasi kwa
tuandikie: training@comskills.co.tz
tupigie: 0717 71 85 19 / 0762 192 532
tembelea: www.comskills.co.tz
Fika ofisini kwetu Makumbusho Business Complex, 2nd Floor.
Karibuni sana.