Najipanga, nakuja soon.Shukrani ndugu,tulikosea katika uandikaji. Asante sana.
karibu ukaongeze ufanisi katika kazi zako ndugu.
Mkuu mbona mnafunfisha outdated version ERP 9 wakati.kwenyr ERP 12Kampuni ya "The Computer Skills" iliyobobea kwenye ufundishaji na ushauri wa kitaalum kwenye nyanja za ICT, itaendesha mafunzo zifuatazo;
1. Advance Excel for Professional
Muda: wiki moja, 14/11/2016 -18/11/2016
Saa: 18:00 - 20:00
Fee: laki tatu na nusu (Tzs350,000/=)
location: Makumbusho Business Complex, 2nd floor
Support: Utapewa e_manual, 8GB Flash Disk,Note book & 3 months of concultant for free
Walengwa:Accountant,Auditors,HR,marketing,program managers and other stake holders
2. Basic & Advanced Tally ERP 9
Muda: wiki mbili, 21/11 -02/12/2016
Saa: 18:00 - 20:30
Fee: laki tatu na nusu( Tzs 350,000)
location: Makumbusho Business Complex, 2nd floor
Support: Colored manual, 8 GB flash,Note book and
refreshment
Walengwa: watumiaji wote wa TALLY
NOTE: kupata kozi kontent wasiliana nasi.
Usajili umefunguliwa tiari;
wasiliana nasi au fika ofisini kwetu;
Simu: 0717 718 519 / 0762 192 532
email: training@comskills.co.tz
Web: www.comskills.co.tz
Karibuni sana.
Shukrani sana kiongozi, tunafundishia hiyo kwa sababu ina watumiaji wengi sokoni, na makampuni mengi bado wanatumia iyo ERP 9.Na pia mwisho wa kozi tutawaonesha ni kitu gani kimeongezeka na kitu gani kimeondolewa.So waweza join ili upate uelewa wa zote mbili kwa pamoja.Mkuu mbona mnafunfisha outdated version ERP 9 wakati.kwenyr ERP 12
Asante ndugu,course content unaweza tumiwa. Tunachokuomba waweza tuma email yako then tutakutumia huko huko.Au waweza fika ofisini kwetu kwa maelezo zaidi.Unaweza kuweka Course content kwa advanced Excel?
hakuna kwa mchana? manake hiyo time wengine hatuwezi.Shukrani sana kiongozi, tunafundishia hiyo kwa sababu ina watumiaji wengi sokoni, na makampuni mengi bado wanatumia iyo ERP 9.Na pia mwisho wa kozi tutawaonesha ni kitu gani kimeongezeka na kitu gani kimeondolewa.So waweza join ili upate uelewa wa zote mbili kwa pamoja.
Asante na Karibu sana.
Tupigie: 0717 71 85 19 / 0762 192 532
tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Fika: ofisi zetu zipo Makumbusho Business Complex, Gorofa ya pili.
tupo wazi kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka saa 2:45 usiku.
erickmutabuzi17@gmail.comAmong the topic in the coming Training are;
1.Logical Functions in accounts & Finance
2.Lookup Functions
-Choose
-V/HLookup
-Index & Match
-NPV & IRR
3. Preparing Final accounts from Trial Balance using Pivot Tables
4.Common sized Financial statement analysis using Excel.
And so much more, to get a full course content please send us your email address.
You have anything to ask,
Call: 0717 71 85 19 / 0762 192 532
send: training@comskills.co.tz
Visit: www.comskills.co.tz
Visit our office "Makumbusho Business Complex, 2nd Floor.
from 06:00 - 20:45.
Karibu sana.
swali la msingi sana hili,jamaa kakimbiaUnaweza kuweka Course content kwa advanced Excel?