Ni kitabu ninachokipenda sana NA KIKO VIZURI MNO, nilikitumia kwa kujisomea mwenyewe for 7 months only nikafanya Advanced Maths paper, Mungu mkubwa nilifanya maajabu.
Mi nnayo soft yake. Ngoja ntafute bundle ya kutosha ili nikiupload, nawe jipange na bundle ya kutosha kukidownload. Mi niko dar, kama upo hapa labda tunaweza kuwasiliana.