Adungwa mimba baada ya kunikataa

Adungwa mimba baada ya kunikataa

LUMBAKALA

Senior Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
148
Reaction score
20
Jamani kabla hujafa hujaumbika,na usimkufuru Mungu kabla jua halija zama.Demu mmoja ajulikanae kwa jina Pendo nilimtongoza na nikamueleza nia yangu ya kumuoa akanikataa,then akapata sharobaro wa mapenzi akamdanganya akamdunga mimba jamaa hadi navyosema sasa ameshasepa,demu akarudi kwangu anibambikie mzigo{mimba} nikamfukuza sasa anajuta,ndiyo maana nikasema kabla hujafa hujaumbika na usimkufuru Mungu kabla jua halijazama.
 
Kwan wewe si ulikuwa wataka papuchi yake pia men are the same aim yenu kwa mwanamke mnapomtongoza ni m1 tu..... mbunye
 
huo umbea live!
sie hayatuhusu meen!!
hayo ni maisha ya pendo!!
 
Umemkosea kama hilo jina la Pendo ni lake na story yako ingenoga tu bila kutaja jina lake.

Suala la kudugwa mimba naona kama limekufurahisha baada kukataliwa.

Mwambie aende zake kwani mimba si yako na hayo mengine hayakuhusu.
 
we vp! kwa hy we ndo unataka kujifanya ulikuwa na nia njema nae! halafu bro inaonesha we mkuda, m,bea! mnanihii...! NI UKWELI LAKINI HAITUHUSU UTACHEKA VIZURI CKU DADAAKO AKIFANYIWA KM PENDO.
 
We nawe mchicha mwiba..dar kuna demu anakataa kupigwa kavu...huna mbinu nini
 
Nadhani anashukuru kwa kufanikiwa kupata ujauzito, huenda angeolewa na wewe asingekuja kuwa mjamzito milele. Kabla hujafa hujaumbika!
 
Mungu yupi unamuongelea? mbona kwene uzi ule mwingine unetoa promo ya kabaang!? mi naona mods wakupumzishe umekuja kwa spidi kali sana/
 
Jamani kabla hujafa hujaumbika,na usimkufuru Mungu kabla jua halija zama.Demu mmoja ajulikanae kwa jina Pendo nilimtongoza na nikamueleza nia yangu ya kumuoa akanikataa,then akapata sharobaro wa mapenzi akamdanganya akamdunga mimba jamaa hadi navyosema sasa ameshasepa,demu akarudi kwangu anibambikie mzigo{mimba} nikamfukuza sasa anajuta,ndiyo maana nikasema kabla hujafa hujaumbika na usimkufuru Mungu kabla jua halijazama.

mwenzio akipatwa na matatizo usifurahie coz huijui kesho.
 
Back
Top Bottom