Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,147
- 43,079
Tulipo zaliwa hapa duniani tumekuta tayari kila kitu kipo hatujagundua wala kuvumbua. Tulio zaliwa kwemye ukristo tulipo zaliwa tu tukapewa Jina ..la kikristo, tukapewa Dini ya aukristo tukaambiwa ya kuamini na yasiyo ya kuamini...tukaambiwa mapema Adui yetu anaitwa Shetani, Lusifa Muovu tukaambiwa mapema Mungu yupo mawinguni mzee fulani mwenye ndevu nyeupe amekaa kwenye kiti cha Dhahabu kinang'aavsana na yeye anang'aa sana huwezi kumtazama ...haonekani
kiufupi kila kitu tumepewa hamna tulicho chagua. Na hajui kiundani kuhusu tuliyo pewa na kukaririsha na hatujui namna ya kuyapatia uhakika wake. Kwahiyo mpaka tunakufa tunapigania identity ya kupewa ila kilicho tuleta hatufanyi kabisa. Emu tafakari yote unayofanya watu walio kufa na walikua wakiyapambania utagundua yote ni ya kupewa hapa hapa duniani
Na kwa Waislamu vile vile.
Siku moja nilikua na chat na bwana Olyme Songo III ana tabia ya kunihoji mwaswali kabla ya kupost au kuniuliza chochote kigeni alicho kipata kwenye pekua pekua zake za vitabu vya Elimu hii. Amewahi kunihoji kuhusu THE ANUNNAKI hasa kuhusu ANU namna anavyo tajwa kwenye Holy Tablets Pia alinihoji kuhusu SPIRITUAL PLANE pia alinihoji kuhusu 9 ETHER
Hapa sipingani nae katika chochote ila nataka tuweke uelewa sawa.
kuna vitu vifuatavyo
SPIRITUAL PLANE - Kiswahili tunasema ulimwengu wa Roho.
SPIRITUAL REALM - Kiswahili tunasema "Ulimwengu wa Roho"
5D DIMENSION - Tunaweza tukaita ulimwengu wa anga la Tano au density ya Tano ... pia ni Ulimwengu wa Roho
utagundua shida ni kwamba Kiswahili hakina namna ya kutofautisha baina ya PLANE,REALM,Na Dimension.
PLANE , REALM na DIMENSION Ni tofauti kabisa.
Tunaposema Dimension ya Tano (5D) au 3D tuna maanisha nini?
Kwenye hili nitalizungumza kipekee ingawa tayari umesikia sikia wengi wakiongelea Dimension zikihusishwa sana na UFAHAMU kwamba mimea ni Dimension ya kwanza, Wanyama ni Dimension ya Ufahamu ya Pili na Wanadamu ni Dimension ya Ufahamu ya Tatu (3D) ... Yes wapo sahihi kama wakichukulia Dimension kama viwango vya Ufahamu.
Sikia Dimension ni sawa ni viwango vya Ufahamu (Level of Conciousness) lakini pia dimension ni ENEO au aina fulani ya UWEPO (Kind Of Existence).
Tunaposema dimension ya Tatu .. 3D DIMENSION tunahusisha Ulimwengu wa kifizikia (THE UNIVERSE) Ninapo sema ulimwengu wa kifizikia namaanisha GALAXY zote, NYOTA zote, SAYARI zote, MASHIMO MEUSI (Black holes ) Zote, haijarishi ni SIRIUS, ORION, PLEIDES, ACTURUS, ANDROMEDA, SOLAR SYSTEM Nakadhalika
mifumo nyota yote hiyo ni mifumo nyota ya Kifizikia ambayo ipo kweli. Sio kitu cha Kiroho.
Sayari zote labda NIBIRU, DUNIA, RIZQ, THYLANTHIA, KEPLER, MARS, JUPITER, MOON, TITAN, SATURN, na sayari zote ni Sayari za Kifizikia zinazo onekana kimwili. Tunashindwa kuziona kwasababu zipo mbali ila tukifanikiwa kusogea tunaziona ni Sayari za Kifizikia.
Yaani kuna watu hua wanahisi tunachanganya nooo! Ni kwamba uelewa wako unakuwa bado huajakupa picha halisi ya uelewa.
Hawa viumbe wote ATLANTEAN, ANUNNAKI, SIRIANS, PLEIADIANS, ANDROMEDANS, ACTURIANS, SAURIANS, REPTILIANS, DRACONIANS, hawa viumbe woote na wengineo naomba ieleweke kwamba kwasababu wanatokea katika mifumo nyota ya kifizikia ya ulimwengu huu; kwa mfano REPTILIANS wanatokea Sayari inaitwa MALDEK...ni sayari ya kifizikia inaonekana kwa macho. ANUNNAKI wanatokea NIBIRU na kabla ya hapo walitokea sayari ya RIZQ ambayo ni sayari ya saba wengine wanasema ni ya nane kwenye mfumo nyota wa SIRIUS B. Ni sayari ya kifizikia inaonekana kwa macho. Pia ACTURIANS wanatokea mfumo nyota au kwenye nyota ya ACTURUS ni nyota ya Kifizikia. DRACONIAN wanatokea mfumo nyota wa ORION .
Unaona? utagundua kwamba viumbe hao woote ikiwemo sisi. Sisi sote tupo kwenye ULIMWENGU WA KIFIZIKIA... na kama tupo katika ulimwengu wa kifizikia tupo kwenye 3D DIMENSION.Sisi sote ni wamoja pamoja na ANUNNAKI, REPTILIANS na wengineo ni kitu kimoja kabisa kwasababu sote tuna miili ya kifizikia tunaishi kwenye Sayari za Kifizikia sisi sote ni wav3D DIMENSION.
Sikia ..najua utasema inamaana na ANUNNAKI (THE GODS yaani YAHWEH, ALLAH, Na wenzao) wapo kwenye 3D? Jibu ni ndio .. sote tupo kwenye 3D katikati yetu kumetengenezwa "CONFUSION - DISCONNECTION" ambayo tunaita THE MATRIX kwahiyo tunachezeana akili sisi kwa sisi kutokana na UCHU - KUJIPENDELEA (EGO).
Kila mtu anapenda kuwa juu ya mwenziye hakuna Tajiri anayetaka wewe uwe Tajiri. Wewe mwenyewe ukikuta fulani anafanikiwa kuliko wewe lazima moyo wako ulipuke na wewe utaenda hata kwa waganga kuloga zaidi ili kuongeza nguvu asikushinde. Kuna wale viongozi maarafu utasikia wakizeeka wanaitiisha SEMINA et wanatoa Siri za mafanikio kisha wanawachaji Ela. Siri za mafanikio hakuna mtu anaweza kumwambia mwenzie kwasababu kila mtu anapenda aonekane bora, mzuri, yupo juu kuliko mwenziye. Ndio maana DIAMOND na ALIKIBA wataendelea kushindana na Diamond atahakikisha Alikiba hafikii level zake. Kwahiyo Hii tabia yakupenda kuwa juu inaleta mashindano na wale wanaobahatika kupata hizo suri Wanazificha wananeemeka wao wenyewe binagsi hawataki muwe juu kama wao. Hiu tabia ndio tunaita EGO (The Satan Within You).
Mashindano ya Shetani na Mungu ..tayari kimetokea kitu kinaitwa mashindano (mkanganyiko), tayari inaonyesha SHETANI na MUNGU wana EGO, Wana wivu, wanalipiza kisasi..ni tabia za viumbe kwenye dimension za chini.
Nilimwambia OLYME SONGO II nilimwambia cha Ajabu zaidi usishangae kwamba SISI SOTE NI WANADAMU.
"WE ARE ALL HUMANS"
Haijarishi ni Anunnaki, Pleiadians, Andromedans, Lyrans, Lyrians, n.k Sote sisi ni HUMAN
Katikati yetu sisi na viumbe wa sayari zingine nje ya Dunia katikati yetu kumetengenezwa THE MATRIX na Matrix inaendelea kutuvuruga na kututenganisha kwa kutumia kitu KIRUSI CHA KIROHO - SPIRITUAL VIRUS kinaitwa "MIND EATER" ambacho ni EGO kama nilivyo eleza.
Waangalie habari za ANUNNAKI (THE GODS) utawakuta na Tabia hizo za EGO ..Chuki, mashindano, Mauaji , vita ... Yoote hayo kwakuwa wanagombania UKUU - THE THRONE.. Yoote yanayo endelea dunia ..ikiwemo mikanganyiko mikanganyiko - Confusion inatokana na Wao walipo kuwepo duniani .. wakigombana na kuto kuelewana. Dunia imeachwa kwenye GIZA hakuna anae jua mwisho - hatima yao na siai ipo vipi?
MMOJA ataniuliza... Majini nao wapo 3D na vipi kuhusu MIZUMU?
Swali dogo ..jibu la haraka ni kwamba Mizimu na Majini wapo kwenye 3D DIMENSIOMN na wapo katikati yetu hasa MIZIMU. (MAJINI NI NAFSI NGENI - Tutaongelea).
Ili kuanza kujibu hilo swali Tuanze kuona tofauti ya NAFSI na ROHO.
Na hapa kuna mkanganyiko au watu wanashindwa kutofautisha ...kuna vitu vifuatavyo:-
SPIRIT - kwa kiswahili ROHO
SOUL - Kwa kiswahili wakati mwingine inamaanisha ROHO lakini maana yake halisi inamaanisha NAFSI
SELF - Kwa kiswahili inamaanisha NAFSI
Sasa umeona kiswajili kimekosa neno la kutofautisha? Si unaona namna ambavyo inakuwa ngumu kwa mwalimu kukutofautishia ?
Katika kiingereza SPIRIT, SOUL na SELF ni vitu vitatu tofauti. Ila kiswahili kina mapungufu au Upungufu wa misamiati.
Sisi sote tunao ishi katika hizi sayari, nyota katika galaksi yoyote tunaishi katika ulimwengu wa kifizikia THE 3D DIMENSION.
Kuna taarifa nilikua napekuwa hivi karibuni nikaikuta habari kwamba Kuna viumbe wameumbwa Dimension ya 7 THE 7D DIMENSION na Wengine ya 6 (The 6D Dimension) nakadhalika nakadhalika.
VIUMBE NI NINI NA ROHO NI NINI?
SPIRIT yaani ROHO ni neno ambalo lilitafsiriwa kutoka kwenye lugha ya kihebrania ya neno RAUCH inayoo maanisha "Pumzi" au Nishati
Na neno SOUL yaani Nafsi lilitafairiwa kutoka kwenye neno la kihebrania REPESH inayomaanisha "The breathing creature" yaani kiumbe mwenyw kupumua.
Kwahiyo ni hivi Nafsi ni KIUMBE ni kitu kinacho fana uitwe kiumbe lakini si kwa wanyama kwanini?
Neno Nafsi baadhi ya watu nafundisha kwamba ni kiunganishi kati ya ulimwengu wa Roho na wewe hapa duniani au kiunganishi kati ya Wewe(akili/mind) na Roho yako. Siwapingi ila wameshindwa kutambua kitu
Hiyo ni Role ya nafsi. Yaani ni wajibu au kazi ya Nafsi ni kukuunganishia Taarifa za Rohoni kutoka kwenye Roho (Baba).
Ni kama vile wewe unaitwa JACKSON .. watoto wako wanakuita BABA, kazini wanakuita DOKTA, mke wako anakuita MUME ... kwahiyo je, Wewe ni Mume? wewe ni Dokta?
wewe ni Dokta kwasababu ya Kazi yako ya Udaktari. Ukifukuzwa kazi utarudi kuitwa JACKSON
Wewe ni MUME/MKE kwasababu umeoa au umeolewa mkiachana je? utarudi kuitwa JACKSON au NEEMA
Sasa NAFSI sio Kiunganishi ila hiyo inaonekana au inaitwa kiunganishi kwasababu ya kazi hiyo ya kukuunganishia Taarifa za Rohoni uzipate akilini -mwilini. Vipi kama Mwili Ukifa? Tutaendelea kuiita Nafsi kiunganishi?
Sikia NAFSI (SOUL) ni PURE BODY ni mwili wako halisi au PURE BODY - PURE FORM ambao upo katika uwepo pasipo kutegemea damu.
NAFSI ni mwili wako wa mdani mwili halisi mwili orijino (Original Body)
Kwenye Hadithi za GNOSTICISM inaelezwa kwamba... DEMIURGE mtoto wa SOPHIA
Alipata wazo la kumuumba mwanadamu wa kimwili maana yeye ndiye aliye ufanya ulimwengu wa Mwili (The Universe) na Sayari zake na Galaksi zake ...kwa mujibu wa Gnosticism.
Wazo la Demiurges kumuumba ADAM wa mwilini alilipata baada ya kutembelewa na ADAM wa mbinguni aliyetokea PRELOMA kwa BABA - THE AEON. Adam wa mbinguni alikuwa na umbo la mwili lakini hakuwa na mwili wa Kifizikia lakini ni Mwili.
Sasa mwili huo wa Adamu wa mbinguni ambao Demiurge alipata wazo kumuumba Adamu wa Dunian kwakuona Adamu wa mbinguni ni mwili Upi? ndiyo NAFSI.
Nafsi ndio Mwili wako halisi usio weza kufa kama ukiishi bila EGO.
Nilicho taka nikuonyeshe katika hadithi yao hiyo ni kuonyeshe kwamba kuna Mwili mwingine ... mwili wa ndani unaitwa NAFSI -THE SOUL na ndio mwili HALISI (Original Body).
Mwili wa kifizikia ni Kopi (copy) ni nakala ya nafsi yako. (Virtual simulation Matrix). Kilitengenezwa kitu kingine fake kutoka kwenye kitu Original ni sawa Unamtazama jMke wako kwenye Picha... ni kweli ni yeye ila Ukweli wenyewe hiyo ni Picha tu, mke wako hayupo hapo .. Kwahiyo inaonekana kama kweli lakini sio kweli hicho kitu tunaita VIRTUAL SIMULATION MATRIX iliyotengenezwa na DEMIURGES (THE GODS). TO TRAP THE HUMAN SOUL
SISI SOTE NI WANADAMU.
👉Nilimwambia Songo II ulimwengu wote huu wa Kifizikia kwenye sayari yoyote kuna jamii mbili Tu za watu.. ni sisi sote ni WATU.
BAHAYMAW - "HUMAN BEAST" wanadamu kama wanyama... Lakini bado ni wanadadamu ndio maana tunawaita REPTOID (REPTILIAN - HUMANOID)
HUMIM BEINGS - HUMAN BEINGS
Hii ni jamii ya wanadamu wa kawaida. Pure human Race.
Sasa sisi sote sijui unatoka Sayari ya Mars, Sijui unatoka RIZQ , sijui unatoka NIBIRU sijui unatoka Duniani WE ARE ALL HUMAN - THE ONE RACE
Sote ni wanadamu ni Jamii moja ni HUMAN RACE
"THERE IS ONLY ONE RACE THE HUMAN RACE"
Tunawaita baadhi yao wenzetu (wanadamu wenzetu) MIUNGU, ALLAH huu ni mchezo fulani tunachezeana kwasababu ya VIRUS THE MIND EATER ambayo ni EGO ilipandikizwa kutoka kwenye Old Universe kwa wale wanao Fahamu PARALEL UNIVERSE. Na hii mind Eater ilitengenezwa SCIENTIFICALLY kutoka kwenye Old Universe.
Kwahiyo sisi na wale tunao waita Miungu tupo kwenye 3D DIMENSIO sote tupo kwenye Evolution tuna Evolve in conciusness.. Sote tupo tunakua kuelekea dimension za juu. Muhimu tupo kujifunza tuache EGO tuishinde Ego UPENDO utawale .. PURE LOVE tukifanikiwa hiyo baadi ya Taarifa zinasema "EVEN THIS UNIVERSE WILL BE SHIFTED TO HIGHER DIMENTIONS REALITY OF EXISTENCE"
MIZIMU IKO WAPI ...WANAISHI WAPI?
Mizimu wameacha mwili wa kifizikia ila Wapo katika Pure body ..mwili wao Orijino. Wapo hapa hapa kwenye 3D Dimensions katikati yetu ni vile hatuwaoni ...kwanini?
Ukiachana na sababu kwamba Macho yetu yapo kwenye Frequency za chini hayawezi kuona Frequency za juu... Pia ipo sababu nyingine nayo inahusiana na;-
PLANE ... hapa tunapata ASTRAL PLANE au SPIRITUAL PLANE
Kumbuka huko mwanzo tulikuwa tunatafuta tofauti ya Dimension, Plane, na Realm.
Dimension nadhani utakuwa umeelewa.. sasa tupo kwenye PLANE.
Na nataka tuzungumzie ASTRAL PLANE kwa kiswahili nayo ina maanisha ULIMWENGU WA ROHO ila nitofauti na FIMENSION , ni rofauti Na SPIRITUAL REALM ambayo nayo inamaanisha ULIMWENGU WA ROHO kwa kiswahili. Kwahiyo utaon Kiswahili hakina manwno ya kutosha kutupa Picha iliyo wazi kwenye Lugha yetu ndio maana nimeamua kudadavua.
Sasa PLANE ni kama muonekano . Kuna muonekano kwa mujibu wa akili yako (Imagination) tunaita MIND PLANE. Kuna muonekano wa kifizikia (PHYSICAL PLANE) bao ndio tunatumia macho ya kawaida. Pia kuna muonekano wa Kiroho (SPIRITUAL PLANE au ASTRAL PLANE) lakini bado tupo hapahapa kwenye 3D DIMENTION bapo ndani yake kuna PLANE tofauti tofauti.
Kwahiyo mizimu wanapatikana kwenye ASTRAL PLANE lakini no hapahapa kwenye 3D DIMENSION katikati yetu.
Kukazia! Je, umewahi kusikia neno "THE LIGHT BEINGS" yaani viumbe nuru au viumbe wa Nuru.? Waislamu wana imani Kwamba Malaika wameumbwa Kwa NURU so ni LIGHT BEINGS
Sasa tunaposema Light beings mfano waislamu wanaposema Malaika(walio umbwa kwa Nuru -The light beings) inaonyesha kwamba ni viumbe wana akili, wanafanya kazi kama kusujudu, wanaongea na kusikiliza oda/amri ya mkuu na wanatekeleza. Lakini ni Light Beings
Kwenye Picha hapo chini Inaonyesha miale ya mwanga rangi tofauti ikiwa imetengeneza maumbile ya Mwili lakini sio mwili wa kifizikia ni mwili ulio tengenezwa kutokana na miale ya mwanga yaani nuru na tunauona mfano wa umbo la THE LIGHT BEINGS. Kwahiyo mwili huo wa Nuru sidhani kama utakuwa na damu huenda una kitu kingine mbacho kinatenda kazi kama damu kwenye mwili bandia wa kifizikia. But yet it is a Body.
Sasa basi miili hiyo ya Nuru haiwezi ku-exist kwenye 3D dimension bila kutegemea mwili wa kifizikia. Viumbe hao wa nuru wanapatikana kwenye Dimension zao lwenye ulimwengu wa aina yao (Another simension) wenye sayari za aina yao , galaksi za aina yao Zinazo endana na DIMENSION YAO na miili yao ilivyo lakini bado ni MIILI (YET IT IS BODY) .
Mtu akifa haitakiwi tuseme ROHO ZA WAFU inatakiwa tuseme NAFSI ZA WAFU. Mazoea ya kusema Roho za wafu badala ya Nafsi za wafu imetokana na kwamba watu wameshindwa kutofautisha kati ya nafsi na roho (SPIRIT & SOUL)
Kwa mujibu wa Hadithi za Gnosticisms inaelezwa ya kwamba Adamu wa mbinguni aliishia kukamatwa (kutekwa) kwenye ulimwengu wa kifizikia wa Demiurge.
Sasa kumbuka lengo langu halikuwa kuwasilisha au kujadili haditji ya Gnosticism. Kumbuka awali nilisema hii ilitokana na kwamba nilikua nikijuliza NANI ADUI WA KWELI? who are the real Enemies"... safari hii ya kutafuta The real Enemy (adui wa kweli) ilinipekea kujua sisi sote tuliopo kwenye huu ulimwengu kwenye sayari yoyote hata uko SIRIUS hata DRACO-COSTELLATION STAR SYSTEM watokako Draconian nikagundua SISI SOTE NI WATU JAMII MOJA TU (HUMAN RACE) iliyogawanyika katika Matawi mawili ya muonekano
1.HUMAN BEAST (BAHAYMAW -REPTILIAN HUMANOID)
lakini bado ni watu kwa kuwa kuna neno "Humanoid" kumeongezeka neno Beast yaani "Human BEAST"
2. HUMIM BEINGS - HUMAN BEINGS ambao ndio wanadamu wa kawaida (HUMANOID)
Nikagundua Mchezo wa Wanadamu na Tunao waita Mungu kwenye Dini zote ni Mchezo wa wanadamu wenyewe (HUMIM BEINGS PLAYING GAMES ) nikagundua mchezo wa wanadamu na tunao waita Miungu/Mungu / Shetani Ni mchezo wa WANADAMU WENYEWE (HUMAN RACE) nikauchukulia kama mchezo wa mieleka baina ya wanadamu wenyewe walio gawanyika kwenye sayari tofauti tofauti wametengana; wengine wana ujuzi mkubwa na nguvu mpaka tuna waona kama Miungu ..wana teknolojia ya juu na wanatuzuia tusiwe kama wao na wanahofia wana neemeka pekeayo THERE FORE EGO ina Exist ndani yao. ENKI - LUCIFER mahala fulani alisema "....Sisi Anunnaki sio Miungu; ni Baba yangu ANU (The most High), Mdogo wangu ENLIL (YAHWEH), Mdogo wangu wa kike ISHTAR (ISRAEL), mwanangu MARDUK (Jehova), ndugu yangu ..mtoto wa mdogo wangu (Enlill) aitwaye NANAAR (Allah) na Malkia kutoka mfumo nyota wa Orion (Reptilian Orion Queen) ndio wanao watawala duniani kama Miungu"
Sitaki kuamini msemo mmoja kwenye mafundisho ya siri unasema "THIS WORLD THE GODS HABE CREATED IT FOR FUN"
Kwamba "Ulimwengu huu Miungu waliuumba kwaajili ya kucheza/mchezo fulani"
Nikagundua kwamba Hapa kuna wachache wenzetu wanashikiria nyanja za jui za UWEZA/UWEZO na nguvu tunawaona kama Miungu ...lakini huku sisi tunaambiwa kuna nguvu inatenda kaI haionekani (Invisible Power).
Kwahiyo ni kamamieleka ya Diamond na Alikiba ..sisi na wao tunagombania "UNIVERSAL TITLE"
( THE GODS VS HUMANS FOR THE UNDISPUTED UNIVERSAL TITLE).
BUT YET WE ARE ALL HUMANS EVOLVING IN THIS PHYSICAL UNIVERSE WITH PHYSICAL PLANETS, PHYSICAL STARS, PHYSICAL GALAXY ..ETC
SISI SOTE NI WATU (HUMAN) TUNAHITAJI KUKUA KUELEKEA UFAHAMU WA JUU HATUA NYINGINE YA WATU WALIO STAARABIKA: KWAKUWA HATA MIUNGU WANAHAMISHA CHUKI, WANAHAMASISHA MAUAJI (QUR'AN IMEAMURU KUWACHINJA MAKAFIRI, NA WAKRISTO WASIO AMINI), MIUNGU WANALIPIZA KISASI, WANAPANGA NJAMA ZA VITA, WANAPIGANA ..MAMBO KIBAO YA CHUKI, WIVU (MUNGU MWENYE WIVU) - ,MASHINDANO ..Maana kwanini uonw wivu kama hakuna mtu unae shindana nae ..una muonea wivu kwakua amea kulupita au kukuzidi point. Hizi ni tavia za Wanyama (Ufahamu wa Chini) sote tunatakiwa ku-evolve kuanzia ufahamu ili tufae kuelekea dimension za Juu zinazo fuata. Hatimae kukamilika kabisa na kurejea kwa Baba kwenda kufanyika kuwa Baba yeye mwenyewe THE ONE.
Nikagundua kuna DNA za aina mbili.
1.Spiritual DNA
2.PHYSICAL DNA
Yaani DNA za kiroho Baba yetu wa Rohoni. Na DNA za Kifizikia Baba yetu au wazazi wetu katikamwili.
Nikagundua Ulimwengu wa kifizikia na maisha ya mwilini Hayapo katika DESTINY (KUSUDI KUU)
Bali maisha ya Kidizikia ya mwilini na ulimwengu wa mwilini wenye sayari na Galaxy, ni FATE / HATIMA na Sio DESTINY (Kusudi Kuu).
Nikagundua BABA hakuumba ulimwengu wa mwili wala hajawahi kuumba chocho; Baba hakuumba ulimwengu wa chini au Dimension za Chini; Bali uwepo wa dimension za Chini ni matokeo ya kuanguka kwa watoto wake (FALLEN SUPER NATURALS)
Baba alizaa mwana. Mwana alizaaa wana na wana wakazaa wana. Baba nibRoho na watoto ni Roho ; Baba jawezi kufa na watoto hawawezo kufa kama Baba yao. Baba ni Roho na watoto ni Roho (LIKE FATHER LIKE SUN - KAMA BABA KAMA MTOTO)
BABA SIO MUNGU... MIUNGU NI KITU KINGUNE. Na kamwe usimchukulie Baba kama Mungu au Miungu . Mchukulie kama Baba Mzazi au Mama.
Baba hakuumba chchote cha mwilini. Baba sio mtu hata Baba linakiuka utaratibu Baba sio NAFSI/SOUL kwa maana hiyo sio kiumbe. Baba sio Positive wala sio negative. Baba sio Nuru wala sio Giza .
Hii ni Utangulizi maalumu kwenye mfululizo wetu wa URITHI HARAMU WA MIUNGU, maana ujumbe huo ni mkubwa una una mambo makubwa
Hapo tutakapokamilisha kuona fumbo la Vita Kuu mbinguni (The Great War In Heaven) kisha tutakwenda kuangalia namna gani baadhi ya jamii za siri wanajua ukweli wote na huwa wanakumbushana wao kwa wao kwa kificho au mafumbo ya Ishara, Picha , nembo na Movie
Hapo sasa ndio tutaenda kuangalia the STAR TREK au THE STAR WAR itatupa picha iliyo kamilika kwenye THE GREAT WAR IN HEAVEN tutagundua namna Gani Miungu/The Fallwn Angel walichokifanya na kutengeneza ulimwengu wa uongo katika tumbo bandia la Matriki kupitia uzazi bandia MATEICAL BIRTH... kuwateka watoto wa Baba Na Mama .. ulimwengu huu unajulikana kama HOLOGRAPHIC SIMULATION MATRIX WORLD ambao ni ulimwengu Picha. Ni sawa na wewe upo kinyozi unanyoa katika kioo utajiona wewe mpo wengi mnanyoa na katika kioo picha itaonyesha mjongeo kabisa kwa kucopy kutoka kwako wewe Halisi...sasa yule wa kwenye kioo ni Wewe Copy uliepo kwenye ulimwengu Picha ambao ni VIRTUAL REALITY uigaji wa uhalisia ..ndio tunaita huo ulimwengu bandia, picha ..HOLOGRAPHIC SIMULATION MATRIX WORLD ni artifial intelligent..akili bandia, asili bandia (artificial nature)... Kitu chochote kilicho tengenezwa na mwingine ni Bandia (artificial) ..Kitu aailia , orijinal hutokea chenyewe bila kuumbwa au kutengwnezwa na yeyote. Ulimwengu ulio umbwa(Created) - ulio tengenezwa ni Bandia (artificial)
Hivi unaelewa Hii Siri
Sisi halisi Tupo usingizini, na Uhalia bandia ndani ya ulimwengu bandia wakati roho zetu zimetupiwa Maapizo (Spells) ya usingizi mzito wa kuto kujitambua na kupoteza muunganiko na Roho zeru na Baba yetu na Mama yetu wa kweli.
Kumbe tunapotaka kutafuta msaada tambua msaada haupo popote katika ulimwengu huu .. Wa Miungu si kanisani wala msikitini ni aulimwengu bansia ulio tengenezwa na FALLEN SUPER NATURALA au Fallen Angels. Alafu tunawaita Miungu Tunawaabudu ... Mchezo ni ule ule ni kitu kimoja hao Jamaa
Ni malaika aliye jigawanya katika uwili (positive na negative) wa asili yake yeye mwenyewe.
HUKU SHETANI HUKU MUNGU
Kama si hivyo.. kwanini Asimuye shetani mapema ili kuepusha uovu?
Mbona anaonekana Anashindwa kumuua anatupa maneno tu.. ana mtupia lawama shetani huku anajitapa anaweza mambo yote.
KWANINI ASIZUIW UOVU KABLA HAUJATOKEA? KAMA ANAONA MAMBO KABLA HAYAJAKUWAKO
ALIWAZA NINI KUMUUMBA AHETANI ? AU NAYEYE ALIKUA HAJUI KUA ANAUMBA SHETANI?
KWANINI ASIMUUE AHETANI?
Elewa Siri... Understand The Mystery
Cc: Copy and paste