Adroid adroid vision lg 2.3.3 mpya wai sasa inauzwa

Adroid adroid vision lg 2.3.3 mpya wai sasa inauzwa

sijakuelewa mkuu
simu yenye wife inakuwezesha kupata mawimbi ya internet pale ulipo,mfano nasiki kwa walio endelea hata airport,vituo vya treni na mabasi ukiwa na simu yenye wife unapata mtandao kama kawaida!je kwa dar au tz ukiwa na simu yenye wife unaweza kupata free internet sehemu gani?
 
HUkiwa sehemu zinazo access mtandao mfano kwasehemu ninazo kua nafanya kazi mim posta na kariakoo ndugu kungine sijui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom