Adroid adroid vision lg 2.3.3 mpya wai sasa inauzwa

Adroid adroid vision lg 2.3.3 mpya wai sasa inauzwa

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
Simu lg c 710h android version Telus
1-wifi connection high speed of internet
2-adroid version 2.3.3
3-firmware version 2.1-update1
4-kernel version 2.6.29
5-build number ERE27
6-Software virsion LG-C710H-V10C
7-Camera 5.0 mega

bei 220,000 nipo dar cm 0712690760 nimeshindwa kuaproad picha yake
 
Hueleweki kwenye tangazo, labda weka picha
 
Hizo zinzuzwa 145,000/= mlimani city na kariakoo!
 
Wadau nashindwa kuweka picha nch mana mm sio mjuaji wavitu ivyo lakin ditel nimeziweka unaweza kugoogle
 
Hizo zinzuzwa 145,000/= mlimani city na kariakoo!
Kanunue boss haina tabu yangu iyo dio bei yake biashara uria mbona hata elf 5 unaweza nunua wakipenda hata bule wanakupa
 
Wasi wasi upo ktk hiyo camera..... 0.5mp?????? C ntaona ukungu mkuu?!!!!!! Nisaidie mwenyewe huo muonekano wake baada ya ku capture
 
Kweli wewe hunayakupeleka mkuu kwenye mnada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom