Adolf Hitler

Stalin ndio kaifanya Russia ya leo kua hivi ilivyo,aliweka misingi,ukali wa Adolf Hittler ndio umeifanya Ujerumani kua nchi tajiri Europe yenye viwanda lukuki,China pia alikuwepo Mao ndio aliweka misingi na leo hii China ipo hivyo ilivyo.
Naunga mkono hoja yako kiongozi, Hitler ni devil but still his consequence is still felt in Germany up until now
 
Stalin ndio kaifanya Russia ya leo kua hivi ilivyo,aliweka misingi,ukali wa Adolf Hittler ndio umeifanya Ujerumani kua nchi tajiri Europe yenye viwanda lukuki,China pia alikuwepo Mao ndio aliweka misingi na leo hii China ipo hivyo ilivyo.
Nidhamu ni kitu cha kwanza popote.
 
Usiulize kuhusu Afrika bali uliza kuhusu Israel kama ingekuwepo, kwa sababu anguko la huyu ndiyo lilipelekea kumegwa Palestina kimabavu ikaanzishwa Israel mwaka 1948.

Hitler alikuwa mshirika mkubwa wa Ottoman na adui mkubwa wa wayahudi hadi aliwaua vibaya sana. Sasa ardhi ile ya Palestina ilikuwa ni ya Ottoman. Ili Marekani, Uingereza, Ufaransa na washirika wake waichukue na kuwapa wayahudi, ilitakiwa kumwangusha Hitler kwanza. Bila hivyo kusingekuwa na Israel hadi leo hii​
 
Huyo angefanikiwa plan zake,humu wote tungekuwa tunaongea na kuandika kijerumani ila kama angeturuhusu kutumia internet,uislam ungekuwa history na Israel isingekuwepo,Tanzania ingekuwa inaitwa East Africa Deutschland na kodi to our lord Hitler ingekuwa sweat and blood
 
Sijajua sababu ya msingi ni ipi, inawezekana labda kutofautiana kwa itikadi.
1. Hitler aliwatuhumu Wayahudi kuhusika na propaganda za kichini-chini zilizopelekea Wajermani kushindwa maeneo mengi katika medani za kivita.
2. Hitler aliwaaminisha Wajerumani kwamba Wayahudi ni aina ya "Kirusi" na kwa hiyo uwepo wao huko Ujerumani ni "Kuichafua Damu" halisi ya Kijerumani.
3. Wayahudi walionekana kana kwamba wanawaunga mkono maadui wa taifa la Ujermani hususan nchi za Mashariki (Urusi) lakini kwa kinyemela na undumila kuwili.
4. Siasa za chuki dhidi ya Wayahudi
5.
6.
 
Huenda ni kweli, lakini Kwa nchi kadhaa ziliwatimua wayahudi kwa nyakati tofautitofauti??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…