Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,674
- Thread starter
-
- #21
Kindege dig deeper into vasily and svetlana life after death of their motherJamaa alikuwa hataki ujinga.
Is it HolocaustHitler alijifyekelea mbali kwa kuwa vita ilimshinda hata asingejiua alikuwa ameshashindwa vita na asingekuwa na madhara yoyote,kwa upande mwingine ninasadiki Hitler alikuwa na matatizo kichwani,Hitler was responsible for 10 million deaths
Hapa tunazungumzia mauaji ya kukusudiwa(holocaust) na mauaji yaliyotokana na yeye kuanzisha vita kabla hata vita haijaanza kulikuwa na program ya Action T4 ya kuwaua watu wenye ulemavu wa viungo na akili ujerumajiIs it Holocaust
Miaka hiyo akiua wayahudi hizi dini zingine zilikuwepo?Ingekuwa huyo ni mzee sana mwenye umri wa miaka 137.
- Ni mzee aliyechoka choki' na hatamani hata kuishi tena. Angekuwa hana hamu wala uwezo na nguvu ya kujihusisha tena na mambo ya kisiasa.
- Pengine angekuwa ni mganjwa wa Alzheimer na mzimu wa zile damu za Wayahudi M6+ zingekuwa zinamwandama Uck kucha.
Ndiyo. Kuna kamsemo kwamba "Avumaye baharini papa, kumbe wengi wapo".
Angeibuka mpinzani mmoja dhidi ya siasa zake na kumtokomeza kabisa kusikojulikana.
Unahisi hakuwa na uvumilivuHapa tunazungumzia mauaji ya kukusudiwa(holocaust) na mauaji yaliyotokana na yeye kuanzisha vita kabla hata vita haijaanza kulikuwa na program ya Action T4 ya kuwaua watu wenye ulemavu wa viungo na akili ujerumaji
Jibu jepesi ni kwamba asingeweza kuwa hai mpaka leo.Amezaliwa April 20 1889, Je? Angekuwa hai mpaka leo unafikiri ingekuwaje? Africa ingepata uhuru?
Kabisa. Hawa wa siku hizi wanafanya ubabe Ili tu wapate kutrendi. Kiuhalisia wengi wao hawana ubabe wowote.Kipindi hicho wababe walikuwa wengi; ni sawa na viongozi wa Afrika miaka ya 1950s wote walikuwa na mwamko wa nchi zao kupata uhuru.
Nime-google hapa mkuu. Kumbe Nadezhda alijua na Mzee kawadanaga watoto wake kuwa mama amekufa kifo cha kawaida 😅Kindege dig deeper into vasily and svetlana life after death of their mother
Her death was suicideNime-google hapa mkuu. Kumbe Nadezhda alijua na Mzee kawadanaga watoto wake kuwa mama amekufa kifo cha kawaida 😅
Amakweli ukweli ni kama pembe la ng'ombe, haufichiki.
Juden was priorityHapa tunazungumzia mauaji ya kukusudiwa(holocaust) na mauaji yaliyotokana na yeye kuanzisha vita kabla hata vita haijaanza kulikuwa na program ya Action T4 ya kuwaua watu wenye ulemavu wa viungo na akili ujerumaji
Stalin ndio kaifanya Russia ya leo kua hivi ilivyo,aliweka misingi,ukali wa Adolf Hittler ndio umeifanya Ujerumani kua nchi tajiri Europe yenye viwanda lukuki,China pia alikuwepo Mao ndio aliweka misingi na leo hii China ipo hivyo ilivyo.Joseph Stalin, Mzee wa great purge 🔥
Uko sahihiStalin ndio kaifanya Russia ya leo kua hivi ilivyo,aliweka misingi,ukali wa Adolf Hittler ndio umeifanya Ujerumani kua nchi tajiri Europe yenye viwanda lukuki,China pia alikuwepo Mao ndio aliweka misingi na leo hii China ipo hivyo ilivyo.
Ndio nani huko daslamu 😊
Maoni yako kuhusu HitlerNdio nani huko daslamu 😊
Alikua insaneMaoni yako kuhusu Hitler
Je? Tungepata Uhuru miaka ya 1960s , bila HitlerAlikua insane