Adolf Hitler

Amezaliwa April 20 1889, Je? Angekuwa hai mpaka leo unafikiri ingekuwaje?
Ingekuwa huyo ni mzee sana mwenye umri wa miaka 137.
  • Ni mzee aliyechoka choki' na hatamani hata kuishi tena. Angekuwa hana hamu wala uwezo na nguvu ya kujihusisha tena na mambo ya kisiasa.
  • Pengine angekuwa ni mganjwa wa Alzheimer na mzimu wa zile damu za Wayahudi M6+ zingekuwa zinamwandama Uck kucha.
Africa ingepata uhuru?
Ndiyo. Kuna kamsemo kwamba "Avumaye baharini papa, kumbe wengi wapo".
Angeibuka mpinzani mmoja dhidi ya siasa zake na kumtokomeza kabisa kusikojulikana.
 
Hufikiri alitupa uhuru Africa
 
Hitler alijifyekelea mbali kwa kuwa vita ilimshinda hata asingejiua alikuwa ameshashindwa vita na asingekuwa na madhara yoyote,kwa upande mwingine ninasadiki Hitler alikuwa na matatizo kichwani,Hitler was responsible for 10 million deaths
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…