Admission

west ham

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Habari zenu Wadau.
Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
 
Mpe pole. MUHAS waombaji kuna PCB wa A3 kama 1000 hivi!
 
Aombe bugando wamefungua second round
 
Mpe pole. MUHAS waombaji kuna PCB wa A3 kama 1000 hivi!
Nakumbuka historia ya Prof Sarungi bado haijavunjwa mpk Leo ya A3 hao umewatoa wapi
 
Habari zenu Wadau.
Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
Kabla ya kuomba tena angalia ufaulu wake wa GS na BAM coz hata hayo yanaweza kuwa kigezo cha yeye kukosa kote
 
apply bugando chap kabla mambo hayajaharibika
 
Habari zenu Wadau.
Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
Bahati nzuri kijana mwenyewe ndio wewe
Nenda bugando fasta
 
Habari zenu Wadau.
Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
Duh! Afanye second round hawezi kosa multiple wameshamuachia nafas
 
Habari zenu Wadau.
Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
Kwa kweli hii inauma sana. Niwape wote pole kwani huu ni ufaulu mzuri sana kwa kiwango chochote. Labda ajaribu CUHAS (Bugando), St Joseph pia wana admit, Kairuki. Kama uwezo upo nashauri pia kuangalia China unaweza kuwatafuta (Global Education Link au Universities Abroad Link). Option nyingine aangalie course za Biology, Anaweza pia kusomea BVM (udakitari wa Wanyama-SUA). Sitaki kuzungumzia system iliyotumika kudahili mwaka huu lakini haya ndo matokeo. Mkuu poleni sana.
 
Asante sana Ndugu kwa Ushauri wako wenye maono. God bless you.
 
KWANI LAZIMA ASOME MD? HAKUNA PROGRAM ZINGINE KWANI ZA SCIENCE NDO MAANA WATU WANAKOSA NAFAS MTU UNANG'ANG'ANIA MD WAKATI POINT CHACHE MWAMBIE AJIUPDATE AU KAMA NDO WW UJIUPDATE SIKU HIZI MD HAKUNA DILI WENGI HUISHIA TU LIFE YA KAWAIDA...NA KAMA NDO AMECHAGUA KWA KUFUATA SIFA MWAMBIE POLE
 
kwani MD ndo course pekee jman ajarb anozer chance ozer wise ata farik na ndoto zke za MD
 
Habari zenu Wadau.
Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
Akachukue Hata Bpharm mbona iko smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…