Admission postgraduate UDSM 2016

Admission postgraduate UDSM 2016

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,361
Reaction score
6,966
Mambo sio mambo idadi ya wasomi wapungua ....ada ipo juu sanaaa iv inawezekana kulipa kidogo kidogo ada ya masters
 
Ndio. Unaigawanya mara tatu kama unasoma for 18 months au mara nne kama utasoma for 24 months.

Kwani imeongezeka, I thought its almost Mil 6.something!
 
Mimi nimesitisha kwenda baada ya kwenda kufanya tour hapo chuoni, na ku calculate cost (time, energy & money) nitakayotumia kupiga hapo Masters yangu.

Nimesamehe pesa ya application...
 
Mimi nimesitisha kwenda baada ya kwenda kufanya tour hapo chuoni, na ku calculate cost (time, energy & money) nitakayotumia kupiga hapo Masters yangu.

Nimesamehe pesa ya application...
Kama elimu ni ghali jaribu...
 
Ada imeshuka sana udsm.current new fee structure for postgraduate imeshuka kufika had mil 3.9 kwa baadh ya koz kutoka mil 4.9 ya awal.

Thanks Prof kwa taarifa.

Ni kuanzia mwaka huu au inahusisha na tulioanza mwaka jana?
 
Thanks Prof kwa taarifa.

Ni kuanzia mwaka huu au inahusisha na tulioanza mwaka jana?
Nlisikia ni kwa wote first yr na continuous students.tembelea ofis za accountant wa college yako kwa taarifa zaid.
 
Ndio. Unaigawanya mara tatu kama unasoma for 18 months au mara nne kama utasoma for 24 months.

Kwani imeongezeka, I thought its almost Mil 6.something!
Mi nafanya Kozi YA 24 months lkn nilisikia wanataka ilipwe Mara 3 sijui we hapo ulilipa bei gani
 
sorry wakuu kuna mtu mwenye yale majina ya tcu waliyosema tuhakiki
 
Mi nafanya Kozi YA 24 months lkn nilisikia wanataka ilipwe Mara 3 sijui we hapo ulilipa bei gani

Mimi pia niliambiwa ninaweza kulipa kwa awamu ya 3 times.

Jaribu kuongea nao tena.
 
Back
Top Bottom