let me assure you katika hizo course ulizoandika hapo utachaguliwa either mechanical(coz haina comptn sana) au agrc eng sua....afu mdogo wangu na point zako hizo mbovu kwanini uliweka petro eng ya kwanza??...au kutaka sifa tu hapo cafe ulipokuwa unafanya applctns zako