ishu ni competition madogo avehni ujinga mtu una div 1 pointy 7 afu una apply petroleum eng UDSM unategemea nini au na kadivision 1 kako kasiko na kichwa wala miguu unaaply course za heshima pale udsm unategemea nini??
Ila kwel watu weng walikimbilia udsm udom na mzumbe ambvyo compttn ni kubwa kwangu me kwngu nlijiekea NIT. UDOM. UDSM . MIPANGO NA MZUMBE so nltarget kote kote na nimepata so nasubir tu nijue wamenipangia wapi

Kuna kabinti kamoja nilikashauri vizuri kulingana na uzoefu wangu, kakajifanya Legendary na Div 3 yake ya mwisho anataka Famas Muhimbili. Mbona alinifata baadae nimbadilishie course hapo sasa ndio nikampa makavu.