Admission letters za UDSM

Admission letters za UDSM

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,753
Jamani naomba maelekezo ya namna Admission letters za UDSM nitazipataje...na je hakuna sehemu ya kuzidownload jamaniiii...!???
 
Yeah nipo dar ndugu...naombeni mnifahamishe kidogo mambo mengi ctak kuvamia mambo
Nafikiri watatoa TANGAZO kuhusu admission letter...
Kwasababu huwa wanafanya hivyo..!
Sema nyie naona kama walichelewa sana kutoa majina yenu...
Coz siku zimeenda sana, kwahiyo kuna uwezekano mkubwa mkaambiwa mtachukua admission letter mtakapoanza kuripoti chuo..!
 
Naona wengi mmekimbilia kuona kama mmechaguliwa bila kusoma kwa uangalifu yafuatayo ambayo ni pamoja na admission letters and joining instructions
"The following applicants have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2016/2017 academic year. The selected applicants should report at the Mwl. J.K. Nyerere Mlimani Campus on Saturday 8th October 2016 for the orientation week which will start on Monday 10th October 2016. Applicants selected for admission into Dar es Salaam University College of Education (DUCE) and Mkwawa University College of Education (MUCE) should report directly to the college's campuses in Chang'ombe and Iringa respectively on the same dates. Joining instructions and admission letters should be collected at the University campuses where one is admitted. Joining instructions and other important information can also be downloaded from the University website at www.udsm.ac.tz (go to Undergraduate Section)".
 
Nafikiri watatoa TANGAZO kuhusu admission letter...
Kwasababu huwa wanafanya hivyo..!
Sema nyie naona kama walichelewa sana kutoa majina yenu...
Coz siku zimeenda sana, kwahiyo kuna uwezekano mkubwa mkaambiwa mtachukua admission letter mtakapoanza kuripoti chuo..!

joining instructions na registration forms mbona hazipatini? na za medical pia. MSAADA WA LINKS PLEASE
 
Back
Top Bottom