hyo kama ni windows xp bas hapo anaweza kufungua hyo account kiurahc sana,,
je utafanyaje kama akiamua kuchange password ako hapo c itakula kwako,
private files save kwa pc yako ya home only,na kama ni ofcn but nunua flash,external harddisk itakusaidia.