Conrad84
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 104
- 43
Habari Wadau,
Natafuta Mdada wa kusaidia ofisini (administrative officer/Cashier) hata hasipokuwa na uzoefu. Kikubwa awe ana ishi karibu na Eneo la millenium Tower (Makumbusho) na awe anafahamu kingereza vizuri, Excel na kusoma email.
Awe atleast na Certificate au Diploma ya Business Administration. Umri asizidi miaka 27. Mshahara Maelewano. Nipigie: 0677 414172.