administrative and human resources officers

kingoli

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
15
Reaction score
0
hellow,kwa wale wenzangu waliosoma public administration na human resources,mimi nlituma cv yangu nkabahatika kupata kazi kama sales executive..na sasa zimetoka nafasi za watu wa administration so kwa wataokua interested wanaweza kutuma cv zao kwenye hii email.farmflowers255@gmail.com,kama wakilidhika nayo utatumiwa form ujaze then utaambatanisha na cover letter pamoja na copy za vyeti...
 
deadline ni lini mkuu?
 
asante sana kwa moyo wako,,lakini mbona mimi nimejaribu kutuma ila email haziendi,,na mwisho ni lini kutuma?
 
hellow,kwa wale wenzangu waliosoma public administration na human resources,mimi nlituma cv yangu nkabahatika kupata kazi kama sales executive..na sasa zimetoka nafasi za watu wa administration so kwa wataokua interested wanaweza kutuma cv zao kwenye hii email.farmflowers255@gmail.com,kama wakilidhika nayo utatumiwa form ujaze then utaambatanisha na cover letter pamoja na copy za vyeti...

saf mdau kwa info
 
Back
Top Bottom