Adidas yaingia mkataba na Manchester United

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
Kampuni ya vifaa vya michezo ya Ujerumani, Adidas, imeingia mkataba wa kuidhamini klabu ya Manchester United kwa kipindi cha miaka kumi kuanzia msimu wa 2015/16.

Mkataba huo ambao utakuwa ndio mnono kuliko yote duniani kwa upande wa vifaa vya michezo unatajwa kuwa wa thamani ya Pauni 750 Milioni kwa mgawanyo wa Paundi 75 Milioni kwa mwaka.

Chanzo: Manchester United plc reaches agreement with adidas - Official Manchester United Website
 

udhamini mnono huo safi sana
 
Brands kubwa sana

♥adidas
♥puma
♥fila
♥reebok
 
Brands kubwa sana

♥adidas
♥puma
♥fila
♥reebok
Umewasahau Nike, UhlSport na kwenye Rugby tuna CCC (Catenbury Clothing Company) ambayo ndio kubwa katika mchezo huu na Kriketi.
 
Adidas walivalisha timu nyingi kombe la dunia...nawakubali,mpinzani wake pekee ni Nike.
 
Adidas walivalisha timu nyingi kombe la dunia...nawakubali,mpinzani wake pekee ni Nike.

Wahuni sana hawa makampuni, ndio wanaodumaza soka la mahali pengine duniani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…