Punda haendi bila kiboko wanasema! kwa kuwa tumejichukulia sisi ni punda na si binadamu ndiyo maaana watumishi wa umma hawafanyi kazi kwa kuwa tangu utotoni wamezoea viboko, kazini hakuna viboko wanazunguka tu na kutia stori tu hakuna kinachofanyika, anything too much is harmful shule za kitanzania zimezidisha viboko