iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Kumekuwa na kauli kwamba mradi wa reli ya kati ambao alikuwa utekelezwe na kampuni kutoka China kwa ufadhili wa benki za China eti kwamba ulijaa ufisadi baina ya maofisa wa nchi hizi waliohusika na mkataba huo
Kumekuwa na madai eti bei ilizidishwa mno kupitiliza .....hivyo hatua iliyochukuliwa ni kuvunja mkataba huo na tenda ikapewa makampuni kutoka nchi nyingine.
Ni wazi kwamba kwa wenzetu wachina,kosa la ufisadi adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa.
Hapa kuna mawili
Serikali ifanye uchunguzi ili ijue ufisadi ulifanyikaje,nani alihusika,alipata Tsh ngapi,zilipitia wapi,tena uchunguzi ufanywe na serikali ya Tanzania,na matokeo yawekwe wazi.
Nasema hivyo kwa kuwa kauli ile inahatarisha maisha ya maofisa wa China waliohusika na mkataba huo,na pengine wangetaka majina yao yasafishwe,na bila shaka maofisa waliohusika ni watu wazito kabisa ndani ya serikali ya China na mabenki ya China ....
Ikibainika hakuna ufisadi uliofanyika basi China iombwe radhi na kusafishwa jina lake na makampuni yake ambayo sura yake imeathirika kimataifa