Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Habari wanajamvi,
Jana katika pita pita zangu maeneo ya Ilala dar Dereva wa gari ndogo akapita katika barabara kwa kuvunja sheria, alipita no entry road ambayo hairuhusiwi. Bahati mbaya kuna polisi alikuwa anavizia akamsimamisha, jamaa akajifanya kama anafunga breki asimame ghafla akaongeza kazi na kumuacha polisi akishangaa.
nataka kujua nini adhabu ya mtu huyu kama polisi alikariri namba ya gari yake?