Uganda inaongoza kwa ufisadi sasa hivi EAC, TZ ya pili, Kenya wamekua vigilent wamedrop hadi no 4, baada ya Burundi....kuna waziri mmoja wa Afya Uganda aliiba hela yote ya madawa ya misaada ya HIV na alipobanwa kujiuzulu akajibu kijeuri kuwa alipigana vita msituni na mu7 kwa hiyo kwa aina fulani ana haki ya kukwapua hizo funds...Africa sijui nani anaipenda imaonekana hata mungu haipendi baada ya utumwa, wakaja wakoloni baada yao sasa tuna makatili wazawa wasiojali wanachuma na kikinuka wananyanyuka kuishi Cape town, London, Paris n.k