Adhabu kwa watoto

mbona kama ni style fulani hivi......kapendeza.
 
Reactions: BAK
ha ha ha akifurahia huo mtindo atakua anarudia kosa ili anyolewe hivo
 
Reactions: BAK
Mbona kama ni fasheni flani hivi mkuu? Inawezekana alibet na mzazi wake ndo akanyolewa kipara huyo... maana watoto wa kileo hawa!!!!.
 
Reactions: BAK
Wa kwangu wakinyolewa hivyo nadhani wataishia kuwaringishia wenzao, fasheni za kunyoa siku hizi nyingi sana
 
Reactions: BAK
ayaaa, hapo mtetezi akipata watetezi wazazi kwishney
 
Reactions: BAK
Zamani Shule ya msingi ukiwa na nywele ndefu unanyolewa msalaba...!
 
Hii fashion itapata wadau siku si nyingi hapa Bongo, wacha waione hii picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…