WISE BOY
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 782
- 244
Utakua unataka kumuua, japo si kwa mikono yako, bali kwa matendo yako.
Kakusaliti amua moja, kumsamehe au kumwacha, maisha ya kutunza vitu moyo ni kujinyima amani, ya nn wakati maisha yenyewe mafupi!!!!
Hayo ya kukaa kimya ni tabia ya mtu asiesamehe