Adha ya Mafuriko

Jamaa yetu wapi hapo tena
Ni Barabara ya Dodoma - Moro daraja la Dumila au wapi
fafanua Mkuu ili kesho nisisafiri
 
huku morogoro kuna tabu kweli, mvua zinanyesha Iringa maji yote yanashuka Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…