ADHA YA BARABARA BAHI DARAJANI

ADHA YA BARABARA BAHI DARAJANI

nkanziga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
700
Reaction score
1,116
Kwa watumiaji wa njia/barabara ya Dodoma - Singida watakuwa mashahidi wa adha na adhabu wanayokumbana nayo maeneo ya Bahi darajani hasa kipindi hiki, daraja la bahi japo reli ya SGR kipande kile imekamilika limebaki kuwa kero Kwa watumiaji wa magari sababu ya ubovu wa njia yake, ni lini wahusika wataweka mkeka (lami) darajani pale Ili kuondoa usumbufu unaojitokeza (pawe kama Morogoro (madaraja yote mawili kihonda na lile la karibu na Kitungwa)

Inafikia Hatua magari yanakaa Hadi masaa manne sababu ya ubovu wa njia pale Bahi, watumiaji tunaomba msaada kutatua tatizo hili.
 
Back
Top Bottom