Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
Na mimi ngoja niseme jamani mahandaki yaliyopo barabara ya kuingia kituo cha mabasi cha Simu 2000 a.k.a Mawasiliano wahusika hamuyaoni? Sio haki kabisa barabara ni mbovu kupita maelezo na hii imesababisha hata mule ndani ya kituo kumejaa tope utadhani kuna maandalizi ya kutengeneza matuta ya bustani ya mchicha.
Hahahaa et matuta ya mchicha. Viongozi jitahidini kurekebisha hizo kasoro zinazoelezwa ili kuepuka mifano inayofurahisha. HahahaaNa mimi ngoja niseme jamani mahandaki yaliyopo barabara ya kuingia kituo cha mabasi cha Simu 2000 a.k.a Mawasiliano wahusika hamuyaoni? Sio haki kabisa barabara ni mbovu kupita maelezo na hii imesababisha hata mule ndani ya kituo kumejaa tope utadhani kuna maandalizi ya kutengeneza matuta ya bustani ya mchicha.
Kwa nn wasiwekw lami tuNa mimi ngoja niseme jamani mahandaki yaliyopo barabara ya kuingia kituo cha mabasi cha Simu 2000 a.k.a Mawasiliano wahusika hamuyaoni? Sio haki kabisa barabara ni mbovu kupita maelezo na hii imesababisha hata mule ndani ya kituo kumejaa tope utadhani kuna maandalizi ya kutengeneza matuta ya bustani ya mchicha.
Ubovu wa hiyo barabara unapelekea hata kituo chenyewe kwenye lane ya entry kujaa tope zito utadhani hamna tarmac! Hii barabara ni kero haswa, inanikumbusha kituo cha daladala mwenge zamani na yale mahandaki.Na mimi ngoja niseme jamani mahandaki yaliyopo barabara ya kuingia kituo cha mabasi cha Simu 2000 a.k.a Mawasiliano wahusika hamuyaoni? Sio haki kabisa barabara ni mbovu kupita maelezo na hii imesababisha hata mule ndani ya kituo kumejaa tope utadhani kuna maandalizi ya kutengeneza matuta ya bustani ya mchicha.
Ni tope linaletwa na tairi za gari zonazopita ktk tope la hayo mahandaki.ndani ya kituo kumejaa tope utadhani kuna maandalizi ya kutengeneza matuta ya bustani ya mchicha