ADEN RAGE na record zake chafu chafu

Laana ya Mutesa Mafisango inamtesa
 
Huyu Rage akiwa katibu mkuu iliyokuwa FAT kuna wakati Yanga ilifika 8 bora katika ubingwa wa afrika kwa kifika hatua hiyo walipewa pesa fulani hele hizo zilipotea hivihivi na Rage alihusika katika upotevu huo.

Pia hele za rambirambi za Malehemu Mafisango ziliyeyuka hivi hivi chini ya uongozi wa Rage,

Hata hela za kuuzwa Okwi ni maluweluwe tupu chini ya huyu mtu Rage
Nina uhakika wa % 100 kama jimbo la TABORA mjini lingekuwa linang`oleka basi huyu mtu angeling`oa akaliuze

Wanyamwezi akili zao zinawatosha wao tu , sijui wanafikiri kwa kutumia makalio, wamechagua mbunge mbovu kaja huku Dodoma kwenye inchi yetu takatifu mtu wao huyo amalinajisi bunge, kwa vipi wameweza kuchugua mbunge mbovu kiasi hicho kisa ni virusha vya shillingi mbili mbili walizokuwa wanapewa?
 

Tazama anachokifanya kubwa jinga Alshabab.. Walijidai kuazimisha Birthday siku ambayo hata siyo CCM ilizaliwa. Hii tarehe 03/02 ni Death-day na sio Birthday kama walivyojidanganya...
 

Mkuu Blayi wa Mpwapwa hoja yako ya msingi kabisa lakini tutake radhi Wanyamwezi kwa kututukana,huna haki ya kututusi.Ila kama nilivyoainisha kwenye 'comment' yangu iliyopita mwisho wake 2015.Tutamfanya kama Wanaurambo walivyomfanyia Samuel Sitta mwaka 1995 kwa kuwapa NCCR-Mageuzi jimbo la Urambo Mashariki.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
[Tuhuma kama hizo ndizo zilizopelekea kufungwa jela akiwa ni katibu mkuu wa FAT japokuwa alitoka kwa rufaa.]

Alitoka kwa msamaha wa rais.
 
Nimeona picha yake kwenye gazeti la Mwananchi. Hakika sikutegemea kiongozi kama yeye kuchukua sheria mkononi. Hivi kwa nini tunawalaumu wananchi wakifanya hivyo? Rage amejivunjia heshima yake. Ametuonesha ni mtu wa aina gani.
 
Asante kwa kumbukizi hii, ila naomba kuweka kumbukumbu sahihi. Rage hakutoka kwa rufaa bali kwa msamaha wa Rais Kikwete na baada ya kutoka jela ndipo alikata rufaa na kushinda.
 
Mnamo mwaka 2011 alipanda na bastola jukwaani wakati akimnadi mgombea wa ccm Pita Kafumu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la igunga kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa mbunge wa igunga.

Mnamo tarehe 3/01/2013 alionekana akimchoma na mtu kada wa chadema aliyekuwa akipinga kung'olewa kwa bendera ya chama chake.
Huyo ndo Rage!
 
km hana huruma kwa wasomali wenzie wanaouzwa km kuku na kuuwawa ktk body za magari na mabohari wakisafirishwa.sijui itakuweje kwa watz na wana tabora

Msumbiji waliwalawiti na kuwapiga baada ya kuona watakuwa laana ktk nchi yao.
 
Tabora mjini poleni sana. chagua watu makini ndg zangu kama mnamashaka waoneni CDM watawaambia nani makini kwa upande wa kupambana na rushwa alafu nyinyi mtaangalia anayefaa miongoni mwa orodha. sina cha kusema zaidi ya pole
 
...na ni majuzi tu alitoa kauli ya kihuni bungeni, alisema 'mmebugi meen'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…