Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Watani zetu Simba...... hivi huyu kada wa CCM Aden Rage amewalisha nini?
The guy has been repeatedly goofing affairs in your club, and with impunity, lakini naona mnamwangalia tu.
Embu angalia hapa chini alivotapeliwa na "Waarabu" kwa kukosa umakini huku akiiburaza Simba yote kama anaswaga wanyama.
Huku akiendelea kuwadanganya wana Simba kuwa suala la Okwi eti ameliwasilisha FIFA, hao hao FIFA sasa wamemuidhinisha Okwi kuwa ni mchezaji halali wa Villa. Hiyo pesa anayoi dai kuipata ni ndoto baada ya haya maamuzi ya FIFA.
Hivi huko Simba kweli hakuna watu wanaoweza ku-think straight na kuamua kuwa sasa "we have had enough of Rage"?
Najua mtaniambia "pilipili ziko shamba........."

Daily News, Thursday, 31 October 2013.
........Simba, who early this year sold Okwi to Tunisian side Etoile du Sahel, insist the Ugandan is still their player because the North Afican club is yet to meet its transfer obligations.
Soccer's world governing body FIFA under its Player Status Committee recently cleared Okwi to play for Villa, a decision Simba are contesting because of Etoile du Sahel's failure to pay them $300,000 (450m/-) in transfer fees.....