We si unaona hata Barack Obama alivyotusua na kuwa Rais wa Amerika basi kila Mkenya akaanza kujipendekeza...
Wapo viongozi wa serikali ya Kenya waliodiriki kujiaminisha kuwa Obama ataikumbuka Kenya kwa kuwa na asili tu ya huko...
Lakini ajabu kabla ya kuwa rais hakuna Mkenya aliyekuwa akithamini maisha na harakati za Obama...