Addicted to my phone

kumbe unamkumbuka Mungu basi tumia hiyo hiyo simu kusoma neno lake, na kisha muombe akuongoze uachane na huo ujinga..

hata mimi nilikuwa addicted kipindi fulani na simu, ikawa ni kutwa kucha, yani hata ufanisi wa kazi ukapungua..nyumbani nikawa sijishughulishi na nyumba, jikoni siingii na ht wtt sina time nao..nikajishitukia mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi, kwa hivo nikaamua kuachana na ile simu nikaigawa halafu mimi nikaongeza kisimu cha tochi nikawa nazo 2..hizi hazina cha internet wala nn, yani ni msg na call ndio nazijua..upuuzi mwingine hamna..

mwanzoni ilinipa tabu kidogo nikatamani kununua tena simu yenye makorokoro, nikawa anona maisha magumu bila network hasa hii mitandao ya kijamii...lkn nikakomaa sijanunua, nikasema this decision is right and i wont go back again..
n ahadi muda huu nimeshazoea kabisa, nyumbani sina hata laptop yani kwa kifupi nikawa nyumbani nakuwa mama nafanya kazi zangu nakaa na wanangu na nikimaliza usafi/kupika napumzika/nalala..naona niko huru sasa kwa kuachana na simu..

mambo haya ya social media nayafanya ofisini tu nikiwa idle, baaaaaaas..nikizima computer na kwenda home hakuna tena access hadi nirudi kwa ofc..na hata hapa ofcn wakati mwingine nasoma vitabu badala ya kuingia kwenye haya makitu, nimesoma vitabu vingi ambayo vimenipa elimu na kunifanya mtu iamara zaidi..

jitahidi uondoke huko uliko, hizi social media ni ulevi kama ulevi mwingine, yaani ukizoea unakuwa km mlevi aliyekosa pombe na kuanza kuweweseka..ila UKITAKA UNAWEZA KUACHA, ni ngumu lkn inawezekana..
 

Wauu...such an experience!...kama uliweza kupuuza mins inawezekana!...one day yes
 
Tender age inakusumbua,ukifika majority age for sure you will change
 
Tender age inakusumbua,ukifika majority age for sure you will change

Mhh...we n mzee mkapa nn!!!...mbna uko serius sana!!!...

Umeshapata breakfast!...
 

Go ahead with it!!!
 
Nahc mm ni wale wa mwanzo mwanzo kabsa...

Nahc mpk hii cm kuna ck itaomba poo...ndo mana apa natafuta mteja ikamfie ukoo m nvute brand nyngne maana nahc ata proccesor itakua taaban....no rests
wala usiumize kichwa, simu zimeachanisha watu, zimevunja ndoa, zimefarakanisha wapenzi..wewe sio wa kwanza aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…