Sio wakat tunakua na mada zenye maudhui ya moja kwa moja kuna wakat tunafanya iv..
Am so addicted to my phone kiasi cha naweza kushinda a whole day nikibonyeza apa pale...nawaza siku ikizingua sina mkwanja wa kunnua nyngne naeza nkafa kwa kihoro..
Nna hakika ningekua napenda kusoma vitabu vitakatifu vya mwenyez mungu basi ningekua naiona pepo ileee...
Ndo ushajua ivo....iko fasta sana...kwa mtu km mm mb za mwez natumia ck 5 kunnua muda wa maongez tgo pesa au bank kirahc kabisaaa...najitia umaskin bila kutumia nguvuuu..