club6 Senior Member Joined Apr 11, 2014 Posts 157 Reaction score 61 Jul 22, 2016 #1 Habari zenu Wana JF, usema ukweli Add O-Level sitting bado tatizo katika website ya TCU. Nimeweka matokeo hayo kuresit ya mwaka 2014 lakini bado haileti majibu. Nashindwa kuendelea mbele... Msaada wenu tafadhali
Habari zenu Wana JF, usema ukweli Add O-Level sitting bado tatizo katika website ya TCU. Nimeweka matokeo hayo kuresit ya mwaka 2014 lakini bado haileti majibu. Nashindwa kuendelea mbele... Msaada wenu tafadhali
lamar dula Member Joined Aug 4, 2015 Posts 57 Reaction score 10 Jul 22, 2016 #2 Wasiliana nao itakua bora zaid
Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,480 Reaction score 27,185 Jul 22, 2016 #3 Mbona Kazi ipo aisee!
goodhearted JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 1,021 Reaction score 1,268 Jul 22, 2016 #4 kwa huwezijaza hata cozi mkuu??
Jaffary JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 808 Reaction score 386 Jul 22, 2016 #5 HIYO NI KWELI