Adam Na Rafik Ye

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
428
Adam alimua kusafiri kwenda
Mbali.
Akamvika mkewe chupi ya
chuma
yenye kufuri. Ufunguo wa chupi
alimwachia rafiki yake mkubwa na
kipenzi kwa maelezo kuwa
asiporudi baada ya miaka minne
amfungulie mkewe ili aishi
maisha
ya kawaida. Adam alianza safari yake. Muda si mrefu kabla
hajafika
mbali akamwona rafiki yake
kipenzi
anamkimbilia. Akasimama
kumsubiri kujua kulikoni. Akauliza: Vipi
rafiki
yangu? Rafiki akajibu; umenipa
ufunguo ambao si wenyewe.
 
haaaa...da msela kajaribisha sikuhiyohiyo...mkabiz mtu hela akulindie ila sio mkeo...
 
I like it! So humourous!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…