Aliwahi zinguana na Fety pia ,jamaa bangi sanaAdamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho,msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.
Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.
Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,
View attachment 2551144View attachment 2551145
Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.
Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.
Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!
Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.
Hahaaa ,unataka aliwe tigo nini ? ,Unajua mzungu kichaa unamsikia ? , Muulize ChameleonKama Mhuni akamkoromee Majani
Pale ata afandesele alikua makofiHahaaa ,unataka aliwe tigo nini ? ,Unajua mzungu kichaa unamsikia ? , Muulize Chameleon
We humjui huyo,ni kichaa kuliko hao vichaa unaowasemaHuyu hajawahi kutana na muhuni mmoja amnyoshee
Watu wako kazini huyo ataomba poo soon
Huyu kijana huu ubabe wa Arusha anauleta Dar, kuna siku atakuja kupigwa mpaka ajinyee.
Ndo mana nmehoji kwanini kampiga?coz chillah naye ni mtu wa kujiona ona sana sasa wahuni hawawezi kukaa na watu kama haoHujawahi kuangalia interview za Q chilla ye mwenyewe ndo wale wale
Bado mtoto mzuri kabisa yule,vichaa bado hujawajua mkuuWe humjui huyo,ni kichaa kuliko hao vichaa unaowasema
Yeah kwahili uko sahihi 😀Ndo mana nmehoji kwanini kampiga?coz chillah naye ni mtu wa kujiona ona sana sasa wahuni hawawezi kukaa na watu kama hao
Huyu sasa kazidi, hadi kujamba!!Hovyo sana alishawahi Jamba live akiwa na kina Fetty na Bdozen
watu hawajui tu ila hiyo interview ilofanya apigwe hata ningekua mimi ningemkanda...aliattack familia ya Adam hasa mke wake.Hujawahi kuangalia interview za Q chilla ye mwenyewe ndo wale wale
Sema kijana wa Arusha sio vijana wa ArushaVijana wa R-CHUGA hao
Hata mimi nashangaa , ndoo tulikofikia huku.Mwanaume unapigwa au mnapigana?
Kwahiyo Q chillah amepigwa akatulia tu?
Huyo savimbi gani anabondwa kizembe namna hiyo?Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.
Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.
Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,
View attachment 2551144View attachment 2551145
Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.
Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.
Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!
Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.
Vijana wa R-CHUGA hao