Adam Kimbisa: Kwa uamuzi wa kuivunja CDA tunaweza kupata ushindi wa asilimia 99

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,860
Hii ndio kauli ya mwenyeki wa CCM wa mkoa wa Dodoma,Adam Kimbisa kwa Rais wakati wa kutolewa tamko la kuivunja CDA Ikulu leo hii ambapo mwenyekiti huyo wa CCM nae alialikwa.

Tukio zima limerudiwa ITV muda huu katika kipindi cha "Makala ya Rais"
 
Sasa sijaelewa ushindi upi manake Dodoma yote kwa wabunge ni ccm au hizo 99% zinakuwa applicable wapi??
 
Hii ndio kauli ya mwenyeki wa CCM wa mkoa wa Dodoma,Adam Kimbisa kwa Raisi wakati wa kutolewa tamko la kuivunja CDA Ikulu leo hii ambapo mwenyekiti huyo wa CCM nae alialikwa.

Tukio zima limerudiwa ITV muda huu katika kipindi cha "Makala ya Raisi"
Huko si huwa wanapata 100% vipi tena wakati wamefanya kile wananchi wanataka halafu 99%?
 
Hii ndio kauli ya mwenyeki wa CCM wa mkoa wa Dodoma,Adam Kimbisa kwa Rais wakati wa kutolewa tamko la kuivunja CDA Ikulu leo hii ambapo mwenyekiti huyo wa CCM nae alialikwa.

Tukio zima limerudiwa ITV muda huu katika kipindi cha "Makala ya Rais"

Si kwa wale mizuka yao
 
Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeeeeee
Kwa wagogo wanaokuwa radhi wakodishe shamba kwa mkulima mkubwa kwa Tsh50,000/= kwa heka kisha anawalimilisha kutwa 7,000/= na kuwaajiri kufukuza wadudu waharibifu huku majumbani mwao hawana chakula na msimu wa kilimo ukiisha kuhamia mijini kuomba omba ungetegemea asiongee kwa kujiamini vile?akaongee ujinga ule Mbeya Arusha au Kilimanjaro kwenye watu wanaojua kutafuta hela kwa jasho aone kitakachompata!pipo dizain ya wagogo ndio mtaji wa ccm otherwise wasingekuwa wanaitawala hii nchi.
 
Hivi CDA ilikuwa inazuia Uchumi kukua??Sifa nyingine ni kama.za Faru John.
CDA ilikuwa imesimama vizuri sana na ilikuwa inapanga mambo yake bila kuyumbishwa.

Huu msingi uliwekwa siku nyingi ili kuondoa siasa kuingilia mambo ya kiutendaji ya CDA.
CDA imeipanga Dodoma na ilikuwa ni kuiboresha tu ili iendelee vizuri zaidi na zaidi lkn hapa Rais kajazwa ujinga mwingi sana kutoka wizara kibao kwamba CDA inakwamisha maendeleo kitu ambacho sicho.

Wale mafisadi wa Ardhi tuwategemee sasa hivi pale Dodoma, ule mji utakosa discipline na utaharibika.
Mungu atupe uzima.

Rais kaingizwa chaka na majizi
 
watu wanawaza majengo waweke wizara wengine wanashangilia. maragare ni mboga na sio zao la biashara.haaa
 
Back
Top Bottom