Je ni sahihi shemeji au wifi kuingia chumbani kwako na kufanya usafi wakati upo safarini. Kwa kigezo kwamba ni chumbani kwa kaka yetu? naombeni tusaidiane katika hili
Sawa ni Dada yake au mdogo Wa kiume ila mkiwa wote hapo home hawafanyi kazi yoyote na hawaingii rum yako ila umeondoka tu wanaingia na kutafuta chochote huko chumbani.

kama mimi hata kama hawataki ningewalazimisha,haiji wao wapo tu kisha mimi ndo nifanye usafi?pia itategemea na wewe mwenyewe hasa nyinyi wa dada ndo mnakuwa ng'wang'walu ila hamna shida ,kubwa wivu tu hapo hakuna lolote.
Je ni sahihi shemeji au wifi kuingia chumbani kwako na kufanya usafi wakati upo safarini. Kwa kigezo kwamba ni chumbani kwa kaka yetu? naombeni tusaidiane katika hili
Si sahihi kabisa! Chumba chako na mkeo wenye mamlaka ya kuingia na kufanya usafi ni nyinyi wawili unless otherwise! Kwa habari ya safari hapana, mke akisafiri basi mume afanye usafi na sio dadake wala shemeji yake. Mimi chumbani kwangu wanaingia watu 4 tu, mimi, husband na watoto wetu wawili, tena wanaingia kama kuna ulazima wowote. Siku ikitokea emergency, basi wengine wanaweza kuingia
Nilicho jifunza tatizo linakuwa kwa mwanaume Kutokuwa na misimamo na kutokuweka mipaka na wadogo zake pindi mama mwenye nyumba akiwa mbali na nyumba. pia nidham ni ya mtu mwenyewe. asanteni kwa maoni